mambo ya ajabu haya unayoandika hapa.alipigwa mawe na kusifiwa sana, ila hoja ni kwamba, yeye hakujibu kwa kuteka, alinyamaza useme ukichoka unywe maji ukalale maisha yake yanaendelea na furaha yake. kujibizana na kushindana na watu huwa kunakuumiza wewe zaidi ya yule anayekukosea na utaishi maisha mafupi sana kwa kumaindi kila kitu hata vile vidogo ambavyo ungepotezea. kwa hali ilivyo sasa, hadi mtaani watu wanaamini nchi haiongozwi na usalama wa taifa na majeshi, wanaamini nchi inaongozwa na abdul mtoto wa mama na waziri msaidizi wa mama na baadhi ya watu wachache. kwa sabbu kwa weledi wa vyombo nilivyovitaja na namna vinavyofowasii maisha, sidhani kama hali ingekuwa ya kijinga namna hii. hapo lazima kuna mtu ambaye sio professional ameshika rungu. hatumtaki huyo mtu kwanza anaaibisha vyombo vyetu vya usalama.
Kwani Gwajima kaeleza nini, au hukumsikiliza kwenye habari yake ya mwanzo?
Sasa unaweka 'spin' gani tena hapa!