PreGE2025 Askofu Gwajima: Sitayumba, sitabadilika na wala sitabadili msimamo!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwanini usijikite kwenye hoja iliyo mezani kwasasa halafu kipindi kingine ndio tujadili ufufuo?
Asitutoe kwenye reli baada ya waumini kupungua kwa kiasi kikubwa sana kwenye kanisa lake ameanua kutafuta aina nyingine ya kutoka hata hivyo wapo Nyumbu wengi tu atawapata.
 
Gwajima shikilia hapo hapo hadi jini la Kizimkazi litoke kwenye miili ya Watanzania!
 
Muda sio mrefu tutahitaji VPN kuingia YouTube 🤔
Wale Wendawazimu wa Bibi Uozo bila shaka ndio wataona njia ya kuzuia habari, maana TV na Magazeti tangu ile tuzo ya "Kalamu Ya Chura" hawaandiki au kuripoti chochote kama Asante Kwa Bibi Uozo.
 
waliomzunguka mama kwa karibi naamini hawamshauri vizuri na hawamtakii mema.
Wanaomshauri Samia na Genge lake wanaamini jambo moja tu; kwamba mitutu ya bunduki ya polisi itawahakikishia usalama wao, na kuendelea kubaki madarakani.
Kuteka na kuua waTanzania bado washauri hao wanaamini kutawatia hofu kubwa waTanzania katika kudai haki yao ya kuwachagua viongozi wao.

Sasa tusubiri kama ushauri huu ndio utakao fanya kazi.
 
vipi bhiminghamu anatupeleka lini?
 
NAONA UTABIRI WA SHEIKH YAHYA WKWA MBALIII
 
Hata huyu tutamsifu sana akishastaafu, si ndio watanzania tulivyo??? Kwani kikwete alisifiwa??? Si alipigwa mawee enzi za utawala wake?? JPM je waliomkandia kipindi kile saizi ndio chawa wake wakubwa??? Akishaondoka na huyu tutasema bora SSH
Unachanganya mambo. Nani anayemsifia Kikwete isipokuwa waliokuwa naye toka mwanzo? Nani anayemsifu Magufuli kwa ule ukichaa aliokuwa akiuonyesha mara kwa mara, isipokuwa wale aliokuwa nao mwanzo?

Hata Samia atasifiwa na hao chawa wake alionao hadi sasa licha ya ubovu wote huu anaouonyesha katika uongozi wake!
 
Kumbe hichi ndicho kinachoendelea mjini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…