PreGE2025 Askofu Gwajima: Sitayumba, sitabadilika na wala sitabadili msimamo!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nireteeni Gwajimaaaa
 
Mimi naweza muunga mkono kwa hili. Hata yale majuha yasiyo na akili, dishi likikaa vizuri wajiulize hili. Tuna kiongozi mkuu wa nchi. Raia wako wanatekwa, wanauwawa, wanapotea kwenye mazingira ya kutatanisha. Hujawahi sema popote, wala kukemea hiki kitu. Unataka watu wakueleweje?

Anatokea mtu anasema kuhusu watu kutekwa, anaanza kubezwa, kutukanwa, kutishwa. Je ni sawa mtu kutekwa, kuuwawa kwenye hii nchi? Hamuoni hatari, sababu hamjaguswa, ila kwa hayo yanayoendelea kitatokea kikundi kingine, kitaanza kuuwa kwa njia yoyote. Na nchi itakuwa ya mauaji ya kunuka damu.

Raia anatakiwa kulindwa, anapokosea kuna vyombo vya sheria vifuatwe. Hatutegemei kuwa na Serikali ambayo inafanya mambo ya kigaidi, kihuni yasiyofata sheria. Mwisho wake utakuwa mbaya. Mkumbuke sumu ni bei rahisi sana, msifikishe watu katika hiyo hatua mtapukutika.
 
Hivi ponjoro ni lidudu gani?nimetafuta kwenye google siioni😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…