Nakuunga mkono...
Yaan ukifuatilia suala la Job na SSH, basi watanzania ni kama "maiti tu.." mnisamehe
1. Hakuna proposal na aggressive movements za kuondoa hali mbaya sana ya uchumi, kucha kutwa ni matamko ya Ndugai
2. Angalia UVCCM wanawinda uteuzi tu, hakuna jipya, vijana ambao hawawezi kufikiri wenyewe kwa maslahi mapana ya vijana wengi chini wasio na ajira, tumanini la kesho ya Taifa liko wapi?
3. Anguko kubwa la elimu ya kujitegemea, hakuna press conference za namna ya kuinusuru sector ya elimu, afya n.k.
Anae mpenda Rais na Tanzania ndani ya CCM ya sasa ni nani?
Nani aliua juhudi za vijana kuwa tanuru la fikra badala yake wamekuwa mavuvuzela ya wanasiasa?
Poor Tanzania