Askofu Gwajima: Spika Ndugai ni boss wangu lakini namshangaa sana, ajiuzulu haraka sana
Acha kutetea viongozi ktk namna hii.
Sawa, matatizo hayaondolewi kwa mkutano na vyombo vya habari. Wala Haina maana Spika atajiuzulu kwasababu Gwajima ameongea na vyombo vya habari. Vyombo vya habari vinaishi kwa habari.
 
Nacholaumu zaidi ni hao viongozi kutuletea upupu.
 
Wapinzani wanapaza sauti kuwa Ndugai hafai na aliwanyanyasa sana hivyo ag'oke. Je akig'oka watanufaika na nini?

Wanaccm nao wanataka ag'oke sasa akig'oka mtapata faida gani?

Siasa za chuki zimetamalaki taifa letu
Mkuu upo wapi mwenzetu? Gwajiboy, lusinde, uvccm hawa ni wapinzani wa wapi au ni wapinzani wa nini? Binafsi nataka ajiuzuru kwakuwa ameshindwa kusimamia maneno yake, hakupaswa kuomba msamaha. Ajiuzuru ili kuweka dhana ya uwajibikaji
 
Wapinzani wanapaza sauti kuwa Ndugai hafai na aliwanyanyasa sana hivyo ag'oke. Je akig'oka watanufaika na nini?

Wanaccm nao wanataka ag'oke sasa akig'oka mtapata faida gani?

Siasa za chuki zimetamalaki taifa letu
Ndugu zake wa kijani hawamtaki we unalazimisha nini? Kwani ata akiendelea kuwepo we unafaidika nini?
 
Ndo hivyo sasa ungemshauri job aombe msamaha siyo vile mzaha.

CCM ina wenyewe.
 
Wapinzani wanapaza sauti kuwa Ndugai hafai na aliwanyanyasa sana hivyo ag'oke. Je aking'oka watanufaika na nini?

Wanaccm nao wanataka ang'oke sasa aking'oka mtapata faida gani?

Siasa za chuki zimetamalaki taifa letu
Bora atoke huyo mumeo ana roho mbaya sn hafai kuwa kiongozi
 
Wapinzani wanapaza sauti kuwa Ndugai hafai na aliwanyanyasa sana hivyo ag'oke. Je akig'oka watanufaika na nini?

Wanaccm nao wanataka ag'oke sasa akig'oka mtapata faida gani?

Siasa za chuki zimetamalaki taifa letu
Kwani ulivyoshangilia Tundu Lissu kufutwa ubunge ulinufaika na nini?

Kuimba kupokezana, kutesa kwa zamu.

Kama mbwai acha iwe mbwai
 
Wapinzani wanapaza sauti kuwa Ndugai hafai na aliwanyanyasa sana hivyo ag'oke. Je aking'oka watanufaika na nini?

Wanaccm nao wanataka ang'oke sasa aking'oka mtapata faida gani?

Siasa za chuki zimetamalaki taifa letu
Hata alipokuwa madarakani mbona hakuna faida tuliyokuwa tunaipata!!
 
Wapinzani wanapaza sauti kuwa Ndugai hafai na aliwanyanyasa sana hivyo ag'oke. Je aking'oka watanufaika na nini?

Wanaccm nao wanataka ang'oke sasa aking'oka mtapata faida gani?

Siasa za chuki zimetamalaki taifa letu
Tayari
 
Back
Top Bottom