Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Walikuwa wanatumiana message za kupongezana na Ndugai! Kaona amiri jeshi Mkuu amecharuka kaitisha press kumkana ndugai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani wewe ndo umekuja na jibu "eti huyu ndo Ndugai ninaye mjua! Sasa hapo kuna nini? Hajaonesha kuongea kwa kumharasi Ndugai anamwita Kiongozi wangu! Means kwenye kundi lao!Walikuwa wanatumiana message za kupongezana na Ndugai! Kaona amiri jeshi Mkuu amecharuka kaitisha press kumkana ndugai
Vyombo vya habari vinaripoti matukio yanayotokea, havitengenezi matukio.
Pia vinakijita kwenye matukio hot, ukiripoti ukosefu wa maji huko mchambawima wakati huu chombo chako cha habari vyombo
Gwajima kafanya anachoona kinafaa kwake. Wewe kama unapenda kuzungumzia matatizo ya wananchi ita vyombo vya habari na ueleze hayo matatizo ya wanachi. Kila mtu afanye yanayo mkera. Unafiki wa Spika ndo kero kwa Gwajima. Wewe kero Yako ni matatizo ya watanzania.Halafu hawa wanatuzarau sana! Wao mifukoni wamejaza fedha kiasi kwamba hawana hofu juu ya kula,kunywa na kulala!.
Wanaita vyombo vya habari tusikilize shibe zao tu.
Lini wataita vyombo vya habari wazungumzie shida zetu na namna ya kuzitatua..?
Vyombo vya habari navyo ndo vinapenda kumulika mambo ya hivi,nchi hovyo sana hii.
Soon wahaini wote watatiwa nguvuni, walimchukulia poa SamiaWalikuwa wanatumiana message za kupongezana na Ndugai! Kaona amiri jeshi Mkuu amecharuka kaitisha press kumkana ndugai
Hawa wote ni sukuma gang wametoka kumkana Ndugai kiongozi wao!Uchambuzi mdogo tu unaonesha hawa wanaomnanga Job wamepangwa wakapangika - Chalamila, Lusinde, Gwajima. Hawa wote ni stouch followers of late JPM na hao hao ndio wametumiwa kumnanga Job. This is what is called political science. Maneno haya yangesemwa na akina shaka yasingekuwa na impact kama sasa, na ndio maana yale makundi rasmi ya chama yalistopishwa kutoa matamko. Heko think tank ya chama. Hapa mmecheza kama pele.
Acha kutetea viongozi ktk namna hii.Gwajima kafanya anachoona kinafaa kwake. Wewe kama unapenda kuzungumzia matatizo ya wananchi ita vyombo vya habari na ueleze hayo matatizo ya wanachi. Kila mtu afanye yanayo mkera. Unafiki wa Spika ndo kero kwa Gwajima. Wewe kero Yako ni matatizo ya watanzania.
Nimeshangaa sana - Hapa Gwajima kakiri na kuruka kimanga ... Yaani ameona kuwa akiri mapema ili hata messages zikija wekwa wazi isiwe habari tena.Walikuwa wanatumiana message za kupongezana na Ndugai! Kaona amiri jeshi Mkuu amecharuka kaitisha press kumkana ndugai
Bongo chezea kila kitu usimchezee Amir Jeshi MkuuNimeshangaa sana - Hapa Gwajima kakiri na kuruka kimanga ... Yaani ameona kuwa akiri mapema ili hata messages zikija wekwa wazi isiwe habari tena.
Soon wahaini wote watatiwa nguvuni, walimchukulia poa Samia
Dr nchimbiUchambuzi mdogo tu unaonesha hawa wanaomnanga Job wamepangwa wakapangika - Chalamila, Lusinde, Gwajima. Hawa wote ni stouch followers of late JPM na hao hao ndio wametumiwa kumnanga Job. This is what is called political science. Maneno haya yangesemwa na akina shaka yasingekuwa na impact kama sasa, na ndio maana yale makundi rasmi ya chama yalistopishwa kutoa matamko. Heko think tank ya chama. Hapa mmecheza kama pele.
Uhaini tena? yaani Ndugai kukosoa utaratibu wa mikopo iwe uhaini? CCM mtakufa wenge 2022, sala zinaanza leo.Hawa wote ni sukuma gang wametoka kumkana Ndugai kiongozi wao!
Wameona kesi ya uhaini ipo njiani! Chezea vyote bongo usimchezee Amir Jeshi Mkuu
kwaiyo tayari ukurasa wa wabunge Wengine kujitokeza ushafungwa dada?!Jidanganye Samia hana ubavu huo! Kwenye Sakata hili umewaona wabunge wangapi wamejitokeza tofauti na wenyeviti na UV CCM hapo ndo ujue ngoma ni mbichi!
Hujui njama za kumsabotage Rais ni uhaini?Uhaini tena? yaani Ndugai kukosoa utaratibu wa mikopo iwe uhaini? CCM mtakufa wenge 2022, sala zinaanza leo.
Yaani nakuambia wote waliomtumia msg kwa Ndugai wakotraced Gwajima mjanja Kaja kujishafisha! Ili ikitokea kufatiliwa aonekane mwema!Nimeshangaa sana - Hapa Gwajima kakiri na kuruka kimanga ... Yaani ameona kuwa akiri mapema ili hata messages zikija wekwa wazi isiwe habari tena.