Askofu Gwajima usitumie viti vya ukumbi wa mahojiano

Watu hawana tena hofu ya Mungu ndio maana hakuna kuaminiana
 
Habari za asubuhi,

Napenda kumpongeza Askofu Gwajima kwa kupiga chenga ya kisigino pale alipokwepa kutumia kiti alicho wekewa. Napenda kumshauri yafuatayo atakapokwenda kesho...
Pia asivute hewa ya humo
Asikubali kukaa kwenye ukumbi bala akae nje
Asisalimiane nao
Asikubali maswali yao
 
Kuna mwamba hapa anakomaa sana na system, system oh system ikiamua kukuondoa ni Fasta...wadau jitahidini kusoma vitabu sana jitahidini jue dunia inaendaje achana na Mishe na akili za kifashisti
 
Uhenda huko sahihi.

Ni kama vile system ingetaka kumwondoa Lissu, angeondoka taratibu na ugonjwa wa pressure! Na tusisingizie vile vijamaa vilivyopiga risasi zaidi ya 18 wakakosa target eti vimetumwa na system!
Ulitegemea system iliyosimamiwa na Bashite kuwa na mbinu gani zaidi ya kumwaga risasi?
 
Na ikiwezekana hata bungeni aende na viti na mic zake kabisa

Pia if possible aende hata na tiles zake kila anapopita anatandika zake

Na akiweza awe na mobile toilet yake kabisa maana hata chooni paweza kumdhuru
 
ilishindwa kwa Lissu. Mungu akisema hapana ni hapana mbinguni na duniani
Lissu kawa blacklisted, hawezi kupata msaada serikalini, bungeni wala mahakamani.

Wazungu zaidi ya kutoa hifadhi sidhani kama kuna kitu cha ziada watatoa. Itakuwa vile vile kama Kambona, utakaa huko huko mpaka unakufa basi.

Na kibaya zaidi huko nje alhakuna anayekujua kwahiyo huwezi kupata heshima kama nyumbani wanakokujua vizuri.
 
Uhenda huko sahihi.

Ni kama vile system ingetaka kumwondoa Lissu, angeondoka taratibu na ugonjwa wa pressure! Na tusisingizie vile vijamaa vilivyopiga risasi zaidi ya 18 wakakosa target eti vimetumwa na system!
Vilitumwa na gaidi
 
Ameionesha dunia kwamba ccm ni wauaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…