Hahahahah Gwajima hategemei kula yake itoke CCM kule yupo for fun tu sababu anaupenda umaarufu na umaarufu raha yake uwe na pesa π sio unakuwa star mavi mavi unatokea kwenye slums za kiwalani πππMbona Kinana na Makamba walichora 4 mbele ya Katibu mkuu Dr Bashiru!!
Ukiwa na fedha 4 unachora popote pale.
Zile za jana ni mbwembwe tu. Hivi unadhani system ikitaka kufuta mtu katika uso wa nchi au dunia itashindwa?
Labda wewe hujui historia ya dunia hii...Zile za jana ni mbwembwe tu. Hivi unadhani system ikitaka kufuta mtu katika uso wa nchi au dunia itashindwa?
Acha kujianika MATAKO wazi wewe.Sikuwahi kusikia popote pale kuwa Lissu alishambuliwa hii habari mpya kwangu.
Hilo shambulizi lilitokea wapi na lini? Nitakuwa mbali na ulimwengu wa habari na matukio kama ishu kubwa hivi ilinipita bila kujua.
Umeandika huku unakunya kichakani?Lissu kawa blacklisted, hawezi kupata msaada serikalini, bungeni wala mahakamani.
Wazungu zaidi ya kutoa hifadhi sidhani kama kuna kitu cha ziada watatoa. Itakuwa vile vile kama Kambona, utakaa huko huko mpaka unakufa basi.
Na kibaya zaidi huko nje alhakuna anayekujua kwahiyo huwezi kupata heshima kama nyumbani wanakokujua vizuri.
Bila kufuta post yako, hicho uichoomba kifutwe halafu wewe ukakiquote kitaendelea kuonekana.Lengo lako wafute post yangu mkuu, ama!
Blacklisted na immigration ilimpatia passport mpya ya kielektroniki? Na alipewa fomu za kugombea Urais? Leo hii akirudi CCM anapewa Uwaziri au AG asubuhi tu!!Lissu kawa blacklisted, hawezi kupata msaada serikalini, bungeni wala mahakamani.
Wazungu zaidi ya kutoa hifadhi sidhani kama kuna kitu cha ziada watatoa. Itakuwa vile vile kama Kambona, utakaa huko huko mpaka unakufa basi.
Na kibaya zaidi huko nje alhakuna anayekujua kwahiyo huwezi kupata heshima kama nyumbani wanakokujua vizuri.
Mimi naongelea vitu vingine na wewe unaleta stori nyingineBlacklisted na immigration ilimpatia passport mpya ya kielektroniki? Na alipewa fomu za kugombea Urais? Leo hii akirudi CCM anapewa Uwaziri au AG asubuhi tu!!
Kina waitara si tuliambiwa walitumika na Mbowe kumuua Wangwe..... Leo hii wapo CCM wamepewa Uwaziri!!!
U know nothing about politics young man.... not everyone has a price tag.
Usijisahaulishe, mbona kwa G. mwamnyange walimshindwa?Zile za jana ni mbwembwe tu. Hivi unadhani system ikitaka kufuta mtu katika uso wa nchi au dunia itashindwa?
Sitaki kuzungumza majaribio ya mauaji kwa watu ambao wako hai nitakuwa nakosea Mungu wangu pia.
Ila kaa ukijua "System ikitaka, rudia kusoma IKITAKA haishindwi.
Blacklist unalinganisha na case ya Kambona??? Lissu aliondoka kwa utashi wake wala hakuwa deported au kukimbia kesi sasa kivp aishi nje mpka afie huko?? Kama alikaa nchini miezi kibao na akamface JPM bila uoga na hamkumfanya kitu ndio aishi ugenini mpaka kifo??Mimi naongelea vitu vingine na wewe unaleta stori nyingine
Nimetafisirika vibaya basi, mimi nilihitaji JF itoe ufafanuzi kwa kujibu tuhuma hizo na si kufuta! Here we dare to openly talk.Bila kufuta post yako, hicho uichoomba kifutwe halafu wewe ukakiquote kitaendelea kuonekana.
Zile za jana ni mbwembwe tu. Hivi unadhani system ikitaka kufuta mtu katika uso wa nchi au dunia itashindwa?
Huyu kibwetere ametetea Watanzania gani??Yeye ndie Mbunge pekee aliyeingia bungeni kwa aina yake na hayumbishwi na upepo wa namna yoyote neno moja kwake nalo ni hili MUNGU anayemtumikia azidi kumlinda na ampe maisha marefu ili siku atakapokuja kupumzika kwenye siasa na dini asimulie mambo aliyoyatenda nyakati hizo lizokuwa kijana kwa watoto wa watoto wake pia ashuhudie na vizazi vijavyo kwamba yeye katka utawala wake alisimamia haki na hakuwa mtu wa kuyumbishwa yumbishwa kwenye misimamo yake na ndie mtu pekee aliyejitoa muhanga kutetea watanzania gwajima Mungu akuweke
Sasa wao ndio wamefuta na mfumo wao wa kufuta unaacha quoted post kuendelea kuonekana.Nimetafisirika vibaya basi, mimi nilihitaji JF itoe ufafanuzi kwa kujibu tuhuma hizo na si kufuta! Here we dare to openly talk.
Sasa hivyo vijamaa vinalindwa na nani miaka yote hiyo?Uhenda huko sahihi.
Ni kama vile system ingetaka kumwondoa Lissu, angeondoka taratibu na ugonjwa wa pressure! Na tusisingizie vile vijamaa vilivyopiga risasi zaidi ya 18 wakakosa target eti vimetumwa na system!
Mleta mada ni mpuuzi, yaani system itake kukufuta ishindwe! So ibaki na mbinu moja tu ya kiti na mikeZile za jana ni mbwembwe tu. Hivi unadhani system ikitaka kufuta mtu katika uso wa nchi au dunia itashindwa?