Askofu Ikongo: Walioniteka, kunivalisha kitambaa cha sumu nawafahamu

Huyu unayetaka kwenda kumueleza hiyo siri yako ndo boss wa hao watu,Sasa utapata msaada au la akili mkichwa chako
 
Acha kupotosha ww..
 
Na vipi aliemuua huyo Askofu leo yuko wapi
 
Acha upimbi ww
 
Ni kweli mkuu haki za binadamu zinalindwa na dini,Mungu atusaidie
 
Unakataa nn na unakubali nn??
 
Waambieni hao viongozi wa kanisa waachane na siasa.

Biblia gani hizo wanasoma?

Mi nimesoma Bible ya king James, nimesoma lost books from the bible, ninasoma wisdom of Solomon (apocrapha) sijaona vikimchanganya Mungu na politics.
Mfalme Daudi alikuwa mtumishi wa Mungu na Mfalme wa Israel (utumishi wa kisiasa); Na hivyo kwa Suleiman na hata akina Eliya waliokuwa manabii per se waliingilia na kukemea maamuz ya viongoz wa kisiasa hadi kufkia hatua ya kuwindwa kuuawa.., Soma vizuri Biblia utaelewa ndgu..!
 
Mene mene tekeri na peresi ni Ujumbe uliotolewa na Mungu kwa Askofu au nani? Daniel ni kwanini alitupwa kwenye Tundu la Simba?

Nijibu swali hili: Daniel alifungwa kwa kumkosoa mfalme kuhusu mambo ya kisiasa? Weka sababu yake kuwekwa jela na hata kwenye tundu la simba. Usiwe muumini wa kulishwa maneno wakati maandiko yako mbele yako. Nasubiri.

Eliya alijuwa anapambana na Akina nani? Mpaka kufikia hatua kutafutwa na majeshi? Akina Paulo na Sira nini kiliwafanya watupwe Gerezani?

Onyesha kwamba Eliya alikuwa mjumbe wa kisiasa wa mfalme Ahab. Pia jiulize kulikuwa na imani ngapi katika Israeli nyakati za Agano la Kale. Je, kulikuwa na wanahai, waislamu, wahindu n.k? Au labda Eliya alitafutwa kwa sababu za kisiasa?

Kwani Paulo na Sila waliwalifungwa kwa sababu zipi hasa? Mifano yako yote ni mfu. Washtaki wao walikuwa ni mafarisayo, watu wa dini. Sasa tueleze hapa, siasa waliyokemea iko wapi kwenye maandiko. Nasisitiza usitaje majina Tu, fafanua visa halisi.

Kwa nini mnataka kumwacha Shetani awawekee wigo ili aendelee kuwakandamiza? Mfalme Hezekiah aliambiwa nini na Mungu naye akafanya maombi kuomba Mungu abatilishe alichomwambia?[

Tofautisha nyakati. Wakati wa Hezekiah taifa la Israeli kulikuwa likimtumikia Mungu mmoja Tu. Naye alikuwa mfalme wao kama taifa. Taifa lilikuwa la KIFALME wala sio la kidemokrasia kama mlivyo sasa. Mfalme alipaswa kuchukua maongozi moja kwa moja toka kwa Mungu, lakini leo hata asiye amini Mwenyezi Mungu aweza kuwa rais. Ndio maana kuna nanna nyingi ya kuapa, sio lazima kutumia biblia. Kumbe leo hii tuna mfumo tofauti kabisa.

Mtakuwa vipofu mpaka lini? Je ufahamu wenu utashikiliwa na shetani haya Mauti? Naaama mauti ya mwili na upotofu wa roho. Je mmemkabidhi shetani aendeshe maisha yenu na shughuli zenu mkitegemea kuneemeka kiroho na kimwili?

Wewe ndiye kipofu wa kiroho, hujui hata kama Kristo alisema utawala wake si wa dunia hii. Sasa walio wake wanaijua sauti yake. Wasio wake wanakwenda tu wakijihesabu ni wa dunia hii, wasijue kwamba ufalme wake si wa dunia hii. Ni vipofu wasiojua kusudi la kuitea kwao, hivyo kusombwa naupepo wa dunia.
 
Waambieni hao viongozi wa kanisa waachane na siasa.

Biblia gani hizo wanasoma?

Mi nimesoma Bible ya king James, nimesoma lost books from the bible, ninasoma wisdom of Solomon (apocrapha) sijaona vikimchanganya Mungu na politics.
Waliomsulubu Yesu msalabani walikuwa hao hao wanasiasa, sasa unatofautisha vipi hayo mambo ?
 
Mkuu mleta habari kwani unakimbizwa?huyu ni askofu wa kanisa gani? na jimbo lake lipo wapi au ndio maaskofu wa sampuli ya akina Kakobe?hawa maaskofu wa kujipachika wenyewe wana mambo mengi,moja wapo likiwa kufanya ufuska na waumini na wake za watu.
 
Waambieni hao viongozi wa kanisa waachane na siasa.

Biblia gani hizo wanasoma?

Mi nimesoma Bible ya king James, nimesoma lost books from the bible, ninasoma wisdom of Solomon (apocrapha) sijaona vikimchanganya Mungu na politics.
Na hawa mitume na manabii ambazo kila siku wapo kwenye majukwaa ya CCM! Mbona ulimkubali mama Lwakatare? Wewe no mnafiki.
 
Waambieni hao viongozi wa kanisa waachane na siasa.

Biblia gani hizo wanasoma?

Mi nimesoma Bible ya king James, nimesoma lost books from the bible, ninasoma wisdom of Solomon (apocrapha) sijaona vikimchanganya Mungu na politics.
Dini/Mungu ni siasa na siasa ni dini/mungu. Huwezi tenganisha uongozi wa siasa na dini hasa kwa nchi kama Tanzania yenye viongozi aina ya hawa waliopo

Kwame Nkurumah anasema "Tafuteni kwanza ufalme wa siasa na mengine mtayapata baadae"

Kusema dini siyo siasa ni mbinu ya ccm kulinda maslahi yao. Kila siku Magufuli wanakula na kunywa na viongozi wa dini lakini hao hao viongozi wa dini wakiunga mkono upinzani anasema wanaingilia siasa na kutaka kuwanyamazisha.

Wacha watu wawe huru. Kama wao ccm wanavyopenda dini iwatumikie kwa maslahi yao na wapinzani wao wanapenda hivyo hivyo
 
Waambieni hao viongozi wa kanisa waachane na siasa.

Biblia gani hizo wanasoma?

Mi nimesoma Bible ya king James, nimesoma lost books from the bible, ninasoma wisdom of Solomon (apocrapha) sijaona vikimchanganya Mungu na politics.
Dear ,miss you
 
Hao ni wapumbafu pia wachumia tumbo toka uvccm
 
Umenisikitisha sana. Mpaka machozi yamenitoka kuona Dunia ya leo bado tuna watu wa aina yako. Inawezekana wakati wa sodoma na gomora au lutu walikuwa watu wema kuliko wewe.

Nitajie Askofu aliyepewa Uaskofu na Mungu. Au nambie maana ya Askofu. Why mtu akisifu anakuwa ok akikosoa anakuwa not ok? Hii si akili ya kawaida.ni ya kishetani.

Mkuu mleta habari kwani unakimbizwa?huyu ni askofu wa kanisa gani? na jimbo lake lipo wapi au ndio maaskofu wa sampuli ya akina Kakobe?hawa maaskofu wa kujipachika wenyewe wana mambo mengi,moja wapo likiwa kufanya ufuska na waumini na wake za watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…