YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Kaulize ulaya walikochanganya dini na siasa kilichowakuta. Mfano ujerumani chama kinachotawala no cha kikristo kinaitwa Christian democratic party.Watu WA kila namna wakajiunga nacho wakapata wabunge kibao kwenda bungeni ukaibuliwa mswada wa kutambua ndoa za jinsia moja na ukaidhinishwa
Sasa hivi ukristo unadhalilika ujerumani na duniani kuwa serikali ya chama cha kikristo inaidhinisha ushoga na usagaji looo
Wasingechanganya dini na siasa kanisa lisingedhalilika michanganyo kwa viongozi wa dini haitakiwi. Wabaki kwenye dini kulinda mafundisho ya Mungu wakijitosa siasa rahisi Ku compromise dini