Askofu Jimbo Katoliki Mwanza: Tusibeze maendeleo tuliyoyapata, wanaobeza, wakaulize mama zao

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Hakika..... Nchi ina maendeleo, hata viongozi wa dini wanajua.

Kigoma bado kilomita chache iungane na mikoa mingine kwa lami, pale kigongo watu walikuwa wanakaa hata masaa matatu, SGR, SoKo kuu mwanza, kutoka enzi ya stendi ya Tanganyila mpaka Nyamhongolo na Nyegera waitu (nyegezi)

Asiye na mwana aeleke jiwe.

Bado kuna daraja la Jangwani linakuja. Bhamula!
Screenshot_20241014-125746.jpg
 
View attachment 3124707
Tunabeza utekaji, watu wasiojulikana, wanao jizima data, (kuahirisha kufikiri kizalendo), waliopewa dhamana
 
Hakika..... Nchi ina maendeleo, hata viongozi wa dini wanajua.

Kigoma bado kilomita chache iungane na mikoa mingine kwa lami, pale kigongo watu walikuwa wanakaa hata masaa matatu, SGR, SoKo kuu mwanza, kutoka enzi ya stendi ya Tanganyila mpaka Nyamhongolo na Nyegera waitu (nyegezi)

Asiye na mwana aeleke jiwe.

Bado kuna daraja la Jangwani linakuja. Bhamula!
View attachment 3124707
Askofu ni mpumbavu apuuzwe tu
 
Careerism...it is a factor within the church. The corrupt appoint their fellow corrupt in the name of ensuring colleagiality.
 
Hakika..... Nchi ina maendeleo, hata viongozi wa dini wanajua.

Kigoma bado kilomita chache iungane na mikoa mingine kwa lami, pale kigongo watu walikuwa wanakaa hata masaa matatu, SGR, SoKo kuu mwanza, kutoka enzi ya stendi ya Tanganyila mpaka Nyamhongolo na Nyegera waitu (nyegezi)

Asiye na mwana aeleke jiwe.

Bado kuna daraja la Jangwani linakuja. Bhamula!
View attachment 3124707
wa mihemko sasa,
wasivyopenda kuskia au kuambiwa ukweli,

watatukana kwa mihemko na makasiriko ya kiwango cha juu mno leo dah 🤣
 
Haki ya kuongea hiyo.Vipi kuhusu uuwiano wa hayo maendeleo,muda uhalisia wa maisha ukilinganisha na nchi zingine kutokea uhuru?
 
AMenukuliwa NusuNusu, imeleta maana tofauti na aliyokusudia.

Watu someni hiyo statement chini ya picha.
Muache kumtukana Askofu.
 
Back
Top Bottom