Askofu Jimbo Katoliki Mwanza: Tusibeze maendeleo tuliyoyapata, wanaobeza, wakaulize mama zao

Hawa jamaa naona awamu hii mambo yamewanyookea, hatusikii tena hospitali zao na shule kukosa wateja na kuomba misamaha ya Kodi..
Dini na siasa ni muungano usioonekana kwa macho ya kawaida.
Mwamakula na Mwanamapinduzi hawajambo? Na Fwaza Kitima?!
 
Hakika..... Nchi ina maendeleo, hata viongozi wa dini wanajua.

Kigoma bado kilomita chache iungane na mikoa mingine kwa lami, pale kigongo watu walikuwa wanakaa hata masaa matatu, SGR, SoKo kuu mwanza, kutoka enzi ya stendi ya Tanganyila mpaka Nyamhongolo na Nyegera waitu (nyegezi)

Asiye na mwana aeleke jiwe.

Bado kuna daraja la Jangwani linakuja. Bhamula!
View attachment 3124707
Kama amesifia tu bila kukosoa USHENZI kama utekaji, Mauaji ya wakosoaji na makada wa upinzani,.

Lakini pia kama ameshindwa kuzungumzia utawala bora na democrasia kwenye utawala huu akachagua kuongelea maendeleo tu,
Huyo Askofu jina linalomfaa no MNAFIKI NA MUONGO .

Amevaa msalaba na Parlium shingoni then anakuwa mnafiki, inashangaza saana.

KANISA MOJA, TAKATIFU, KATOLIKI LA MITUME, CHINI YA ASKOFU MKUU WA ROMA.
🙏🙏
 
Hakika..... Nchi ina maendeleo, hata viongozi wa dini wanajua.

Kigoma bado kilomita chache iungane na mikoa mingine kwa lami, pale kigongo watu walikuwa wanakaa hata masaa matatu, SGR, SoKo kuu mwanza, kutoka enzi ya stendi ya Tanganyila mpaka Nyamhongolo na Nyegera waitu (nyegezi)

Asiye na mwana aeleke jiwe.

Bado kuna daraja la Jangwani linakuja. Bhamula!
View attachment 3124707

..Askofu ameteleza.

..hakupaswa kuwasilisha hoja yake kwa maneno hayo.
 
Hakika..... Nchi ina maendeleo, hata viongozi wa dini wanajua.

Kigoma bado kilomita chache iungane na mikoa mingine kwa lami, pale kigongo watu walikuwa wanakaa hata masaa matatu, SGR, SoKo kuu mwanza, kutoka enzi ya stendi ya Tanganyila mpaka Nyamhongolo na Nyegera waitu (nyegezi)

Asiye na mwana aeleke jiwe.

Bado kuna daraja la Jangwani linakuja. Bhamula!
View attachment 3124707
Kenge tu huyu
 
Back
Top Bottom