Askofu Jimbo Katoliki Mwanza: Tusibeze maendeleo tuliyoyapata, wanaobeza, wakaulize mama zao

Subirini mapovu toka kwa misukule ya mzee Mbowe.
 
Vipi na CCM kusajili watoto kama wapiga kura amezungumzia?
 
Yetu macho.

Nukuu ya baba wa taifa.
""UTII UKIZIDI SANAA HUZAA UOGA, UOGA UKIZIDI SANA HUZAA UNAFIKI NA KUJIPENDEKEZA NA MWISHO WAKE NI MAUTI""
 
Baba askofu maendeleo hayapimwi na kipande cha sabuni kilicho tumika miezi sita kufua na kuogea.

Najua unajua baba askofu tupo nyuma mno, tupo nyuma kulingana na wakati, jana yetu ina afadhali mno kuliko leo yetu, kesho yetu haina nuru kabisa aheri leo.
Askofu heri tuhubirie marejeo ya kristo kuliko propaganda za kisiasa.
 
Yetu macho.

Nukuu ya baba wa taifa.
""UTII UKIZIDI SANAA HUZAA UOGA, UOGA UKIZIDI SANA HUZAA UNAFIKI NA KUJIPENDEKEZA NA MWISHO WAKE NI MAUTI""
Ndicho kinawakuta wanachadema, wanatii kila kitu, wakiambiwa andamana, kwa unafiki, uoga na kujipendekeza, wanaandamana, mwisho wanakufa kwa kupigana wenyewe kwa wenyewe au na vyombo vya dola
 
Ni ujinga kubeza maendeleo
 
Hawa jamaa naona awamu hii mambo yamewanyookea, hatusikii tena hospitali zao na shule kukosa wateja na kuomba misamaha ya Kodi..
Dini na siasa ni muungano usioonekana kwa macho ya kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…