Askofu Jimbo Katoliki Mwanza: Tusibeze maendeleo tuliyoyapata, wanaobeza, wakaulize mama zao

Hawa jamaa naona awamu hii mambo yamewanyookea, hatusikii tena hospitali zao na shule kukosa wateja na kuomba misamaha ya Kodi..
Dini na siasa ni muungano usioonekana kwa macho ya kawaida.
Mwamakula na Mwanamapinduzi hawajambo? Na Fwaza Kitima?!
 
Kama amesifia tu bila kukosoa USHENZI kama utekaji, Mauaji ya wakosoaji na makada wa upinzani,.

Lakini pia kama ameshindwa kuzungumzia utawala bora na democrasia kwenye utawala huu akachagua kuongelea maendeleo tu,
Huyo Askofu jina linalomfaa no MNAFIKI NA MUONGO .

Amevaa msalaba na Parlium shingoni then anakuwa mnafiki, inashangaza saana.

KANISA MOJA, TAKATIFU, KATOLIKI LA MITUME, CHINI YA ASKOFU MKUU WA ROMA.
πŸ™πŸ™
 

..Askofu ameteleza.

..hakupaswa kuwasilisha hoja yake kwa maneno hayo.
 
Kenge tu huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…