Uchaguzi 2020 Askofu Josephat Gwajima achukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Kawe kupitia CCM

Mtu ambaye juzi aliwapangisha foleni waumini wake ili watolewe mapepo , leo foleni anapanga yeye ! hili ni jaribu kubwa sana
Mmezoea bungeni mambo yanayohusu kanisa kuamuriwa na wapagani au watu wa dini nyingine. Sasa jembe la Bwana Yesu, Bishop Gwajima kuchukua fomu tu mmeanza kupagawa, akiingia bungeni si ndio mtazimia? Songa mbele Bishop.
 
Wacha weeee !
 
Embu wapitishwe kugombea tupate video maana lazima makaburi yafukuliwe
 
Mtu ambaye juzi aliwapangisha foleni waumini wake ili watolewe mapepo , leo foleni anapanga yeye ! hili ni jaribu kubwa sana
MASIKINI CHADEMA MNATENGENEZA VID ZA MBAOO AISEE MWAKAA HUU MTASHAAA
 
Askofu muhuni mzinzi ameungana na waliomchafua ha ha ha ha ha na kuwasaliti waliomtetea .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…