Tetesi: Askofu Josephat Gwajima kesho ataongea anakuja na the great come back kupitia Yuotube

Yawezekana yupo mmoja asiposhtushwa na uzi huu yawezekana anajua kinachoendelea
 
Mwamba ataitetemesha nchi kesho, sema tuwe makini akionyesha kujipendekeza kwao tunamfyeka juu kwa juu
 
Kuna uwezekano mkubwa sana unafikiria Kwa kutumia makalio na sio ubongo! Aliewanyima elimu dunia aliwapoteza sana.
Huyo katumwa... mpuuzeni tu, yeye analeta udini wakati huku watu wanadiscuss maswala mengine
 
Kuna uwezekano mkubwa sana unafikiria Kwa kutumia makalio na sio ubongo! Aliewanyima elimu dunia aliwapoteza sana.
Hamna hoja zaidi ya hiyo,
Hayo ndio yamekuwa maneno yenu ya utetezi lakini kumbe sasa mumeona wanaweza?
Waislamu wa sasa sio wale wazee wetu mkawahadaa, wa sasa ni welevu na wasomi kweli
Mda utaongea
 
Siungi mkono dhulma yeyote iwayo,
Lakini hivi kuna mwenye ushahidi pasi na shaka Mama Samia anafanya haya?

Kwani tukisema ni chadema wenyewe wanafanya na ushahidi ukatolewa kwamba mara zote wao ndio wa kwanza kuleta habari wanazipata wapi? Au wanajuaje? Kama wao sio wahusika?

Tatizo lenu mnamuhukumu mtu na ushahidi hamna, sasa kama sio chuki na udini ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…