Inaelekea wewe ni wale vijana wa 'bando', karibu jamvini.Siyo kwa mlango huo wa siasa mkuu, ya kaisari yanazidi. Ana njia nzurii Zaidi ya kuwatetea tofauti na hiyo aliyo ichagua
Akikiwasha kitamuwakia mwenyewe CCM stays stronger.Kuna tetesi kuwa leo Gwajima ataongea au kutoa mahubiri kuptia youtube.
Ametoa tangazo lisemalo " The great come back"
Tuupe muda nafasi tujue kitakochojiri.
NrNe
Hoja imeķushinda unaleta vihoja.Wito kwa waislamu wote, inukeni mtetee imani yenu kwa nguvu zote, hii sasa ni vita ya kidini hakuna tena kusubiri, saa ni sasa
stronger kuteka, kuumiza, kutesa na kuuwa raiaAkikiwasha kitamuwakia mwenyewe CCM stays stronger.
I am tuned already, do not tell me stay tunedWapenda haki kesho tumuunge mkono, kuna come back sio ya kitoto, yaliyofichwa yatafichuliwa, aliahidi kuwa atapigana hadi watekaji wajitokeze
View attachment 3359966
Okay sawa...Leo ibada haitakuwepo, ataongea direct kutoka account yake ya utube
Muda ni saa ngapi?? Askofu atuchangamshe, tumekaa kinyonge 😁I am tuned already, do not tell me stay tuned
Wewe ni kama mkia unaotikisa ng'ombe.Wito kwa waislamu wote, inukeni mtetee imani yenu kwa nguvu zote, hii sasa ni vita ya kidini hakuna tena kusubiri, saa ni sasa
Na mikia ndio inawanyoosha na kuwazalisha🤣🤣🤣😇😇👍Wewe ni kama mkia unaotikisa ng'ombe.