Askofu Josephat Mwingira awataka waumini kuvua barakoa

Askofu Josephat Mwingira awataka waumini kuvua barakoa

Hivi waumini wa haya makanisa akili zao wanakuwa wamelogwa au huwa wanaziacha mlangoni wakati wanaingia kwenye hayo makanisa?
 
Serikali imeacha milango wazi katika masuala ya imani za watu. Hao wanaokusanyika huko makanisani na misikitini wanajua kuwa kuna corona ila kama kwa utashi wao wenyewe wameamua kuendelea kuabudu.
 
Hii kauli ingetoka Kwa wapinzani Leo hii wangekuwa wapo segerea Ila Kwavile imetoka Kwa tapeli wa Imani haina shida
Tapeli hilo.
Screenshot_2020-05-05-22-56-14-1.jpg
 
Kwani korona kitu gani, mbona yule Mzee akisema tusitishane hashambuliwi.?
 
Back
Top Bottom