Askofu Josephat Mwingira awataka waumini kuvua barakoa

Askofu Josephat Mwingira awataka waumini kuvua barakoa

Huyu ngonja impate ndo atajua umuhimu wa barakoa.

Halafu hivi Mungu anapatikana kwenye buildings zao tu? Eti utasemaje na Mungu. Mungu nasema nae kiroho tena popote pale including nyumbani kwangu.
Yule tapeli mwenzake aliua watu kule Moshi , ilikuwa mwezi gani ?
 
Hii ni jinai kabisa
Haiwezi kuwa jinai kwa wakati huu kwani huko juu kuna mpumbavu mmoja amewafungulia mlango. Nchi ikishaongozwa na mjinga ni rahisi sana kuitumbukiza kwenye maangamizi. Ufahamu wengi wa waumini wa hizi dini umeshatekwa na hawa matapeli na wamebaki kupelekwa upande wowote kama mwendesha farasi anavyomwendesha farasi wake. Kwenye hii issue ya corona ilihitajika intervetion ya serikali ili hawa matapeli wasipate mianya kama hii lakini unfortunately mshika usukani naye ni kama zero brain.
 
Acha akili zako za kizamani, huna ushahidi ni tapeli na huna haki ya kusema hvyo
Maana reference yako ni kutokana na maigizo

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushahidi gani unataka zaidi kuwa ni tapeli? Tena tapeli mkubwa. Hawa ndiyo manabii wa uongo waliosemwa kwenye biblia. Tanzania sasa hivi inatumbukizwa shimoni na sekta tatu ambazo zimevamiwa na matapeli: Siasa, Dini na Uandishi wa Habari.
 
ningekuwa hapo kanisani ningecheka sana bonge la cheko
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Kwani Barakoa ndio ina zuia Corona au maji tililika!!!..Kama Barakoa ingekua inazuia Corona nadhani wachina wasingepata huu ugonjwa kwasababu wachina wengi maisha Yao huvaa barakoa!!!...Barakoa ni Kinga ya hewa chafu lakini siyo kirusi hiki Cha Corona ndio maana tunaambiwa tuoshe mikono Mara kwa mara,tukae mbali kidogo,hebu tuwe na akili kidogo

Akili nyingine hii hapa,, Mungu atusaidie aepushe mbali huu ugonjwa mbali maana wengi watateketea,,
 
kweli watu wangu waangamia kwa kukosa maarifa. maana huku wataalam wanasisitiza barakoa huku nabiii anakataza matumizi
 
Watu kama hawa kina Mwingira si wauaji wa halaiki? Why wanaachwa?


Hili lijamaa halina akili kama unakumbuka lilishaandaa mkutano mkubwa sana wa injili kwenye kile kijiji chake Pwani mwanzoni mwa mapambano ya Korona katika hii nchi bahati nzuri serikali ikalizuia.
 
Back
Top Bottom