Mrembo hiyo avatar ya m'bibi hata haivutiiHuyu ngonja impate ndo atajua umuhimu wa barakoa.
Halafu hivi Mungu anapatikana kwenye buildings zao tu? Eti utasemaje na Mungu. Mungu nasema nae kiroho tena popote pale including nyumbani kwangu.
Ki ideas inavutia sana. Huyu anaitwa Rosa Parks.Enzi za ubaguzi marekani alikataa kumwachia siti mzungu kwenye basi. Enzi hizo sheria ilikuwa haitakiwi mweusi kukaa wakati mzungu kasimama. Huyu mama aliendelea kukaa. Unaambiwa alishitakiwa akalazwa jela. Ila kitendo chake kiliamsha akili za watu weusi katika kudai civil rights zao. She inspires me.Mrembo hiyo avatar ya m'bibi hata haivutii
Corona imeleta siyo shida ya kimwili tu kwa binaadam lakini pia imetuonyesha udhaifu mkubwa kwa hawa watu wa Mungu, yaani hata common sense tu hawana na hii ndo inatupa picha kama jamii nzima kwanini tupo kama tulivyo kuanzia ujinga na umasikini wetu, poor us
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwani korona kitu gani, mbona yule Mzee akisema tusitushane hashambuliwi.?
Sawa mamaKi ideas inavutia sana. Huyu anaitwa Rosa Parks.Enzi za ubaguzi marekani alikataa kumwachia siti mzungu kwenye basi. Enzi hizo sheria ilikuwa haitakiwi mweusi kukaa wakati mzungu kasimama. Huyu mama aliendelea kukaa. Unaambiwa alishitakiwa akalazwa jela. Ila kitendo chake kiliamsha akili za watu weusi katika kudai civil rights zao. She inspires me.
Ni kweli maana hao matapeli wana tabia ya kuwajaza imani na wanakuwa kama MISUKULE au MIBUMUNDA.Shida kuna watu watateketea wanaomuamini
Why hajakamatwa ndo nashangaaNakubaliana na wewe sana mkuu. Huu ugonjwa unatuonyesha picha halisi ya jamii zetu, viongozi wetu na mifumo yetu ya kupambana na majanga ilivyo.
Hivi kweli katika kipindi kama hiki cha corona mtu anaweza kuongea upuuzi kama huo? Kwamba dunia nzima wataalamu waliosema watu wajikinge ni wajinga? Viongozi wetu including rais ni wajinga? Na mijitu imekaa inampigia makofi! Huyu mchungaji kwanza alitakiwa saa izi awe rumande kwa kuhatarisha maisha..!!
Kuna watu wanadhani kwamba virusi vinawafahamu au vitawaogopa kwavile wao ni manabii, au wachungaji, au wanasali kwa fulani, au wana nafasi fulani katika jamii. Virusi havijui hilo!! Na virusi ukishavipata, ni wewe na familia yako mtakaoteseka usifikiri saa hiyo upo mloganzila mchungaji atathubutu kukusogelea..
Au ingetoka kwa nguvu ya wapinzani nyuma yake lakini kwa sababu ina nguvu ya kauli ya amiri jeshi wa ufalme wa Uajemi haina shida.Hii kauli ingetoka Kwa wapinzani Leo hii wangekuwa wapo segerea Ila Kwavile imetoka Kwa tapeli wa Imani haina shida
Wanakazi ya kuwajaza hofu waumini waoHuyu ngonja impate ndo atajua umuhimu wa barakoa.
Halafu hivi Mungu anapatikana kwenye buildings zao tu? Eti utasemaje na Mungu. Mungu nasema nae kiroho tena popote pale including nyumbani kwangu.
labda huyu mtumishi yupo sahihi. Ukiamini kuwa Maombi yanaweza zuia CORONA isikupate fanya hivyo kwa imani yako. Hata Serekali ilivyoona maambukizi yanaongezeka kwa kasi ilituagiza tufanye maombi. Hivyo huyu mtumishi kama ameshukiwa na roho mtakatifu na akaagizwa kuwa tusivae Barakoa ili ni jambo la kiimani. Kumbukeni pia hizi barakoa zinamnyima mtu kuweza kupumua vizuri, wakati huu ugonjwa unashambulia mapafu hivyo ili uweze kuwa fiti kiafya unahitaji uvute hewa safi yakutosha.
Watu kama hawa kina Mwingira si wauaji wa halaiki? Why wanaachwa?