RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 1,472
- 2,766
Hakuna mkate mgumu kwa chai, Pengo alihama hadi jukwaa akatoka kuhubiri dini mpaka siasa za ccm.That depends on personal taste. Shetani hutushambulia kupitia maeneo anayojua tuna udhaifu.
Siamini kuwa Ruwaichi anaweza kuwa dhaifu kiasi cha kusaliti nafsi yake kwa hongo ya gari.
Mchengerwa ndiyo mtuhumiwa no 1 wa mauji ni shetani kabisaTEC wamekua vocal sana kuhusu uchaguzi!
Kama kanisa linalaani mauaji ,no rasmi.wanailaumu serikali !!
Tuone hatma ya yote haya!
Malasusa huwezi kuona anakemea mauaji maana kwenye mipango ovu ya CCM huwa anashirikiHakuna mkate mgumu kwa chai, Pengo alihama hadi jukwaa akatoka kuhubiri dini mpaka siasa za ccm.
Malasusa, akapewa kanda licha ya kashifa zake, lakini alisimikwa na ccm, kwa nguvu licha ya waumini kumkataa.
Hao ndiyo watekaji na wauaji wenyeweTuachane na alicho kisema baba askofu; mtazamo wako binafsi kuhusu uchafuzi wewe ukoje?
CCM ni washenzi sn wamesababisha maafa makubwa snWanawachana kila jpili, na waamini wengine wako vyama vya siasa.
Wakati nipo seminary hawa huwa wamenyooka na uhawana kona, utachanwa live bila chenga all day.
So ni kawaida , na ni kawaida kwa wakatoliki wote wanaonda kanisani
Nipe hela nikuunganisheHivi nawezaje kujiunga na Kanisa Katoliki kutoka huku Moravian?
Bora viongozi wa Dini wasemee maana watanzania wanamalizwa kiaina kwa tamaa ya madaraka.Wakuu,
Askofu Mkuu Jimbo la Dar na Mwenyekiti wa Tume ya Haki na Amani ya Baraza la Maaskofu Tanzania, Juda Thadeus Ruwa'ichi anatoa tamko sasa hivi kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa, Katika mkutano na Wanahabari unafanyika kwenye viunga vya 'Parokia ya Bikira Maria Mama wa Huruma Mji mpya Relini.
Askofu Ruwa'ichi ametaja baadhi ya mauaji ya wanasiasa na raia yaliyotokea hivi karibuni kuwa ni pamoja na yale yaliyotokea Novemba 26, 2024 huko Tunduma mkoani Songwe na Manyoni mkoani Singida sambamba na mauaji yaliyotokea jijini Dar es Salaam Novemba 27 mwaka huu, ambayo Kanisa hilo limetaja mauaji hayo yote kuwa ni ya kukusudia
"Mwanzoni mwa mwezi huu (Novemba 2024) kule Iringa na Bukoba waliuawa pia wanasiasa wawili (2), Tanzania tunaelekea wapi kwa kujenga tabia hii?, kitendo cha mauaji ya wanasiasa kinapaswa kulaaniwa na kuchukuliwa hatua kali za kisheria, hakuna mwenye mamlaka ya kumuuwa mwenzake, kutekeleza ama kudai haki za kisiasa wakati wa uchaguzi wakati wa uchaguzi sio vita ni ushindani"
Aidha, Kanisa Katoliki limesema tabia ya kuchukulia mauaji ya wanasiasa na raia kama vifo vya kawaida na vinavyopaswa kuzoeleka ni tendo baya sana linaloweza kupelekea kujengeka tabia ya kupoteza na kukosa ulinzi wa haki ya uhai kama ilivyo kwenye Ibara ya 14 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
"Wapo waliokabidhiwa jukumu la kulinda Ibara hii, tunapoona mauaji haya yakiongezeka tunajiuliza maswali mengi juu ya uwajibikaji wa serikali kwa wananchi"
mimi hili nili li blockWewe ni moja Kati ya watu wanaodhalaulika jf kuliko wite
huyu Juda akipewa vipande 30 atatusaliti mchana kweupeWakuu,

Mchengerwa akamatwe kwa mauajiRAIA WAWAJIBISHE AMBAO WANAKAIDI/HAWASIKII UNABII WA MUNGU TUNAOUTOA KATIKA MATAMKO YETU...by Ruwaichi
RC hawana njaahuyu Juda akipewa vipande 30 atatusaliti mchana kweupe
huyu likitokea la kutokea lileeeeeeeeeeeeeeeeeeee ananyongwa the same day na court martialMchengerwa akamatwe kwa mauaji
labda rc ya kenyaRC hawana njaa
Hopelessanachochea fujo, mpasuko na migawanyiko kwenye kanisa lake tu..
Infact,
kama taifa yafaa kumpuuza tu kwa dharau π
Mtu maisha yake yote anaishi kanisani, ajenge nyumba ya nini yani askofu mpaka kaburi lake litakuwa kanisaniwatamjengea nyumba
Pumbavu kabisaanachochea fujo, mpasuko na migawanyiko kwenye kanisa lake tu..
Infact,
kama taifa yafaa kumpuuza tu kwa dharau π
Nakushukuru sanaNenda parokia yoyote iliyokaribu nawe
Gentleman ,Tanzania siasa ni mchezo ,ila ukijua unavyochezwa, unarex, unacheka sanaaa,anachochea fujo, mpasuko na migawanyiko kwenye kanisa lake tu..
Infact,
kama taifa yafaa kumpuuza tu kwa dharau π