LGE2024 Askofu Juda Ruwa'ichi atoa tamko kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Kanisa Takatifu la Mitume libarikiwe kwa kusema ukweli kuwasemea wananchi ambao ni Watanzania na waumini wao.
 
Ujenzi wa cathedral ya kawekamo mwanza ulimfanya ahamishwe, sasa hivi cathedral inajengwa kwa kasi ya kutisha, sasa sijui alikuwa anafanyafanya nini mpaka Vatican ikaamua kumuondoa ghafla
 
Ujenzi wa cathedral ya kawekamo mwanza ulimfanya ahamishwe, sasa hivi cathedral inajengwa kwa kasi ya kutisha, sasa sijui alikuwa anafanyafanya nini mpaka Vatican ikaamua kumuondoa ghafla
Wewe uliweka tafsiri potofu kuhusu uhamisho huo.
 
Hakika haya mambo mwisho mbaya. Unatawala kwa nguvu watu wenye akili bila ridhaa yao hata Mungu anawaona anajua ukweli ni upi na uongo ni upi.
 
Kama Serikali haitaingilia kati na kuwashughulikia Hawa viongozi uchwara wa dini nchi itaingia kwenye machafuko muda sio mrefu. Huko Rwanda hawa Maaskofu wa Kikatoliki walihusika sana kwenye kuchochea na kisabisha Genocide. Serikali iwe makini!!!
Bila shaka Wewe ndio "mtoto wa shule" uliyeandikishwa na ccm kwenye huu uchaguzi. Maamayo .
 
Anza kumpuuza baba yako mzazi....
viongozi wa dini wanapoacha kuhubiri neno la Mungu na kuanza kuhubiri siasa za chuki na migawanyiko kama huyu ruwaichi na kitima, ni wa kupuuzwa tu gentleman,

wala haina haja kubabaika nao kabisa πŸ’
 
Kwani hapa wataikosa? Kama ccm wanakaa madarakani kwa support ya vyombo vya dola unategemea hao maaskofu wakose support ya wananchi hapa kwetu?
Tupo, 2025 inakuja tuombe uhai......hii ni Tanzania,,,,....kiroho hii nchi ni tofauti sana na hayo mataifa mengine , tupo hapa
 
chadema inateswa na pepo muhemko na mkurupuko inatakiwa mafuta ya alizeti ya upako ili ipone mpasuko πŸ’
Siku tukipata uhuru nchi hii ccm tutawakimbiza nchi hii, hamtoamini.
Mtakufa kwa maelfu, na mtalia na kusaga meno.
 
Hana lolote,Hawa Huwa wanapinga Kiongozi akiwa sio wa kutoka kwao so ni WA kupuuzwa.

Pili kuhusu matukio yaliyotokea ni Changamoto za kawaida za uchaguzi lakini asilimia kubwa uchaguzi umefanyika vizuri na Kwa Haki.

Mifano Wilaya niliko Chadema wanayoishabikia imeshinda viti 5 ,Huko CCM ingeshinda wangesema wameibiwa.

Upuuzi tuu
 
Reactions: UCD
Kama Serikali haitaingilia kati na kuwashughulikia Hawa viongozi uchwara wa dini nchi itaingia kwenye machafuko muda sio mrefu. Huko Rwanda hawa Maaskofu wa Kikatoliki walihusika sana kwenye kuchochea na kisabisha Genocide. Serikali iwe makini!!!
Unadhani hao maaskofu wa Katoliki ni sawa na askofu Gwajima au askofu Kakobe? Hao wana nguvu kuliko wanasiasa unaowajua.
 
Huyu Askofu hastahili heshima yoyote kwa yale aliyofanya Mwanza akiwa Askofu wa Jimbo hasa Bugando mpaka akasababisha Sister wa watu akajiua. Mimi simkubali kabisa ndio maana ha UCardinary akaukosa!! 🀣🀣
 
Unadhani hao maaskofu wa Katoliki ni sawa na askofu Gwajima au askofu Kakobe? Hao wana nguvu kuliko wanasiasa unaowajua.
Hakuna lolote usifikiri waumini wa RC tunafuata mkumbo wa Askofu tunajitambua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…