LGE2024 Askofu Juda Ruwa'ichi atoa tamko kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Na darubini hii hii inazidi kujipambanua, kwamba siyo wao tu wa upande huo; ila kuna upande wa pili pia, ambao wewe hutaki kuuona wala kuuelezea chochote!

Matumaini pekee ni kwamba maadam vyombo vyenye risasi vina amriwa na upande wako, basi huna sababu ya kuwa na wasiwasi juu ya hali ya nchi yako.
Utaendelea tu na raha zako, kama unavyo onyesha sasa hivi.
Niulezee Kwa vipi ikiwa wao ni wahanga wa haya makanisa yanayowasaidia Chadema siasa kisa tuu wanamvhukia Samia Kwa sababu sio wa dini Yao?

Ni upuuzi usio na msingi kujisemesha na kutaka ku nullify uchaguzi kisa matukio 3 sijui matano Nchi nzima , analysis ya wapi hiyo?

Wasivyo hata na aibu ,juzi kati hapo viongozi wa CCM waliuwawa,na hata kwenye uchaguzi huu mmja kachomwa kisu ,hayo yote hawajayaonia ila wanaona ya Wapinzani.

Hawa wakae kimya kabisa,wanashabikia Upinzani Kwa maslahi ya nani? Juzi mwingine analalamika Mbowe Kukamatwa wakati wanajua alifanya mkutano ratiba sio yake.
 
Nilikuwa sitafuti mjadala mkuu 'Sunk', nilikuwa natoa tu ufafanuzi wa hali ambayo wewe kwa upande wako huwezi kuuona.
Sasa wewe na mimi, hatuna njia ya kulizuia hilo.; wala kutamani tu kuwa lisiwepo.
 
Tupo, 2025 inakuja tuombe uhai......hii ni Tanzania,,,,....kiroho hii nchi ni tofauti sana na hayo mataifa mengine , tupo hapa
Hivi unadhani kila wakati mambo yatabaki hivihivi mnavyotaka ya kupora chaguzi za nchi na mkafanikiwa? Mnaamini watu hawawezi kubadilika. Tazameni kinachoendelea Msumbiji chini ya Frelimo.
 
Niulezee Kwa vipi ikiwa wao ni wahanga wa haya makanisa yanayowasaidia Chadema siasa kisa tuu wanamvhukia Samia Kwa sababu sio wa dini Yao?

Ni upuuzi usio na msingi kujisemesha na kutaka ku nullify uchaguzi kisa matukio 3 sijui matano Nchi nzima , analysis ya wapi hiyo?

Wasivyo hata na aibu ,juzi kati hapo viongozi wa CCM waliuwawa,na hata kwenye uchaguzi huu mmja kachomwa kisu ,hayo yote hawajayaonia ila wanaona ya Wapinzani.

Hawa wakae kimya kabisa,wanashabikia Upinzani Kwa maslahi ya nani? Juzi mwingine analalamika Mbowe Kukamatwa wakati wanajua alifanya mkutano ratiba sio yake.
Kufanya mkutano ratiba ikiwa sio yake kuna kosa gani kama amekubaliwa na aliyekuwa na nafasi? Mbona tunaona magari ya serekali yakitumiwa na ccm na hatuoni polisi wakitumia nguvu kubwa kuwakamata makada wa ccm?
 
Imefikia mwisho wakati tathmini iliyopo mezani hapa inaonesha CCM imeshinda kwa kishindo kweri kweri!!!?
Kushinda kwa kishindo kwa uchaguzi wa kihuni ndio kishindo gani? Unashinda kwa kishindo kwa uchaguzi wa kupika idadi ya wapiga kura, na dosari za wazi?!
 
Wewe Mhaini una maana wananchi wapi wakati watz wameshamaliza kupiga kura na wamekipa ushindi CCM! Wewe si ulisema hupigi kura??
Mimi sipigi kura kwenye uchaguzi ww kishenzi, wapiga kura kwenye uchaguzi unaosimamiwa na waiba kura?!
 
Hivi unadhani kila wakati mambo yatabaki hivihivi mnavyotaka ya kupora chaguzi za nchi na mkafanikiwa? Mnaamini watu hawawezi kubadilika. Tazameni kinachoendelea Msumbiji chini ya Frelimo.
Haha andaeni tu vilio vya kutosha kwa wazungu wenu.........mabadiliko sawa yanahitajika ila mbadala kwa sasa bado hamna bora zimwi likujualo.....,hao wengine nao njaa tu...........hao Msumbiji wana historia gani inayofanana na Tanzania? Anza tu kwenye kupata uhuru, hao waliupata kwa mtutu wa bunduki halafu unataka kufananisha na hiki kizazi chenu gen Z ya bongo inayojua kusambaza uti sugu tu,,,,,,,,mtatamani ila haitakua
 
Kushinda kwa kishindo kwa uchaguzi wa kihuni ndio kishindo gani? Unashinda kwa kishindo kwa uchaguzi wa kupika idadi ya wapiga kura, na dosari za wazi?!
Kupiga kura sijui demokrasia kwa huku ni geresha tu ili kula pesa za wazungu ila hakuna wa kuitoa CCM kwa sasa wala hata miaka ya karibuni ,hicho kizazi hakipo
 
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema: Kanisa kuingilia siasa ni kosa kubwa sana, hizi habari ingefaa Baba Askofu Ruwaichi in
atoe kanisani..!!
 
Kama Serikali haitaingilia kati na kuwashughulikia Hawa viongozi uchwara wa dini nchi itaingia kwenye machafuko muda sio mrefu. Huko Rwanda hawa Maaskofu wa Kikatoliki walihusika sana kwenye kuchochea na kisabisha Genocide. Serikali iwe makini!!!
Mumguse uone kama kuna tofali litasimama juu ya jingine
 
Kupiga kura sijui demokrasia kwa huku ni geresha tu ili kula pesa za wazungu ila hakuna wa kuitoa CCM kwa sasa wala hata miaka ya karibuni ,hicho kizazi hakipo
Mwisho wa uhuni umefika boss, kama huamini tunza huu uzi hutaamini macho yako.
 
Hapo inabidi muone Faiza Foxy yeye ndie mwenye hiyo connection ya kutoka morovian kwenda katoliki
 
Unyumbu kuingia kanisani ni jambo baya sana gentleman 🐒
Ni moja ya majukumu ya imani kuwashape watu kwenye njia iliyo nyoofu, hatuwezi kuwa na imani ambayo inaona mambo yanafanyika ndivyo sivyo alafu isikemee.

Be positive mkuu hii ni nchi ya demokrasia.
 
Gentleman,
I am always truthfully man,
nikiona neno la Mungu linawekwa kando, halafu Askofu au kasisi anaanza kumwaga sera za chama Fulani cha kisiasa, namuona ameshindwa kazi ya kupeleka waamini mbinguni...

Askofu unawachochea waamini wajichukulie sheria mkononi?

kasisi unasubiri unyumbu wa chama Fulani cha siasa kanisani?

sasa kuna haja gani ya kwenda kanisani wakati anachohubiri kiongozi wa kisiasa ndicho hicho hicho anahubiri kasisi?🐒
 
Back
Top Bottom