The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Niulezee Kwa vipi ikiwa wao ni wahanga wa haya makanisa yanayowasaidia Chadema siasa kisa tuu wanamvhukia Samia Kwa sababu sio wa dini Yao?Na darubini hii hii inazidi kujipambanua, kwamba siyo wao tu wa upande huo; ila kuna upande wa pili pia, ambao wewe hutaki kuuona wala kuuelezea chochote!
Matumaini pekee ni kwamba maadam vyombo vyenye risasi vina amriwa na upande wako, basi huna sababu ya kuwa na wasiwasi juu ya hali ya nchi yako.
Utaendelea tu na raha zako, kama unavyo onyesha sasa hivi.
Ni upuuzi usio na msingi kujisemesha na kutaka ku nullify uchaguzi kisa matukio 3 sijui matano Nchi nzima , analysis ya wapi hiyo?
Wasivyo hata na aibu ,juzi kati hapo viongozi wa CCM waliuwawa,na hata kwenye uchaguzi huu mmja kachomwa kisu ,hayo yote hawajayaonia ila wanaona ya Wapinzani.
Hawa wakae kimya kabisa,wanashabikia Upinzani Kwa maslahi ya nani? Juzi mwingine analalamika Mbowe Kukamatwa wakati wanajua alifanya mkutano ratiba sio yake.