Askofu Kakobe: Tanzania ni mpango wa shetani; Tanganyika inakuja!

Maono ya viongozi wa dini lazima yaheshimiwe. Tunaitaka Tanganyika yetu haraka iwezekanavyo.
 
Yaani!etii!kwamba:-

Wa visiwani wamemsaidia paka nduguyo kumiliki Bandari ambayo yalikua ni malengo ya Paka kumiliki KWA muda mrefu!!!


Umenielewa hapo mkuu!!?au niongeze kanyama!!?
Nimekupata murua.

Paka mwenyewe siku hizi kaamua kuwa mkimya ajilaza kwenye kiwambaza akisikiliza malumbano huko nje.

Sisi watanganyika tumekosa weledi kabisa.
 
Nafikiri lengo kuu lipo "deep" chini kabisa.

Hasira pia ni moja ya sababu.

Rejea hutba ya mzee wa ACT ameeleza khasa na utapata kiini cha haya yote.
Yaani wanawatia watanganyika hasira!!?ili MUUNGANO uvunjike eeh!!? Au!!?

Ili KATIBA mpya ikija serikali tatu iwe mtelezo KABISA sio!!?

Yaani mama no chambo cha wazenji MUUNGANO uvunjike!!?

Au nimeelewa vibaya!!?

Masahihisho tafadhali!!
 
Nguvu ya Umma isichoke kupeleka ujumbe kwa kila hali ikiwemo maandamano hadi wakoloni weusi katika chama dola kongwe waache kuwa madalali wa kuuza mapande ya ardhi ya Tanganyika kwa nchi ya kigeni.
Tusipochukua hatua hata sisi raia ipo siku tutauzwa utumwani kwa waarabu magabacholi wa kutupwa!
 

Ndiyo mahubiri uliyopewa kanisani kwenu ??
 
Tunaweza kusema ndugu zetu wazanzibari wameuza Bandari kwa Waarabu, vipi Spika, Wabunge, Mawaziri, Mwanasheria Mkuu wa serikali, Waziri mkuu na makamu wa rais hawa wote ni watanganyika wenzetu wao wanasemaje?
Je hawa wote si wazalendo?
 
Ajiandae kuhojiwa tena kuhusu uraia wake kwa mara nyingine. Ni maoni yangu tu.
 
Wanaoutaka ni sisi watanganyika?
hata sisi hatuutaki kwanza haueleweki mara kuna mambo ya muungano ambayo hayahusu muungano yanashughulikiwa zanzibar mara zanzibar ni nchi kwahiyo nchi ya Tanganyika iko wapi?

hili suala la muungano ukiliangalia kwa undani ni la HOVYO
 
Yaani wanawatia watanganyika hasira!!?ili MUUNGANO uvunjike eeh!!? Au!!?

Ili KATIBA mpya ikija serikali tatu iwe mtelezo KABISA sio!!?

Yaani mama no chambo cha wazenji MUUNGANO uvunjike!!?

Au nimeelewa vibaya!!?

Masahihisho tafadhali!!
They've got nothing to lose.

Wa visiwani wana hasira ya muda mrefu.

Mimi nimepata kuishi nao huko nje khasa wale walokimbia madhila ya 1995 na wala wa kabla ya hapo.

Walokuwa wakieleza kila mara wakiingia kwenye topic ya Union ni kwamba walidanganywa.

Kiukweli watanganyika tuna bahati mbaya wengi tumekuta mambo tayari na haya MAKUBALIANO yapo BINDED na kufungwa kisha kuhifadhiwa mahala.

Sasa Paka alijenga urafiki na baadhi ya panya (au wahuni) ili asiwale wakawa wamuibia zile paper nae azisoma zote.

Ndo maana Paka alikuwa akisubiri muda muafaka ili hili litekelezwe ili baadae wale panya wasipata madhara.

Fahamu kuna panya wa aina mbili, wapo panya wa majini (water rats) na wale panya wa kawaida.

Nafikiri utanielewa mkuu.
 
Wow!!

This is very powerful and authorative speech from the true servant of God...

Hii kitu inafunga mjadala. Bila shaka yoyote Tanganyika inarudi. Huo ndio urithi wetu!!
 
Tunaweza kusema ndugu zetu wazanzibari wameuza Bandari kwa Waarabu, vipi Spika, Wabunge, Mawaziri, Mwanasheria Mkuu wa serikali, Waziri mkuu na makamu wa rais hawa wote ni watanganyika wenzetu wao wanasemaje?
Je hawa wote si wazalendo?
CCM ni ukoo wa panya—babu mwizi, baba mwizi, watoto wezi, wajukuu wezi, vitukuu wezi, vilembwe wezi na vining’ina wezi! Ukoo huu wa panya walikuwa wanasafiri katika boti la muhogo, lakini kwa sababu ya uroho wao, walianza kulitafuna boti! Kilichofuata ni ukoo mzima wa kizazi cha panya kuzama na kuangamia.

CCM wameanza kuitafuna nchi tangu mwaka 1961 lakini ukomo wao wa kutafuna rasilimali za nchi zitafika tamati hivi punde kwani hakuna mtanzania mwenye hamu ya kuongozwa na chama cha kifisadi kama CCM ambacho kimeshindwa kuboresha maisha na ustawi wa watanzania. Wananchi wamechoka kubebeshwa ‘magunia ya misumari’ ya bei ya juu ya chakula, mfumuko wa bei wa kutisha, elimu duni, maisha duni, ufisadi wa kutisha na matatizo lukuki yanayosababishwa na panya (CCM) hawa wasiokuwa na haya! Kizazi kizima cha CCM kinakaribia kuzama na kusahaulika kabisa katika ardhi ya Tanzania.

It’s a matter of time before CCM dynasty comes to an end, and that’s when these unscrupulous rats will apprehend the significance and power of the people. Desolately, CCM have been ignoring and looking down their noses at common Tanzanians for many years. Time has now come when citizens can no longer endure CCM’s tyranny and corrupt rule. Everybody is tired of living like a slave on a land endowed with an assortment of natural wealth which only benefits minority looters and a few elites in power while majority Tanzanians lead very miserable lives.

What comes around goes around. Let CCM go to hell for good because they have absolutely failed to uplift the living standards of millions of Tanzanians at the expense of a few looters whose gargantuan stomachs never fill up! And no one should be blamed for the hatred and grudge that majority people hold against CCM and their crooked government except looters themselves who, horrifically, decided to gnaw the cassava boat by which they were sailing!
 
Yaani wanawatia watanganyika hasira!!?ili MUUNGANO uvunjike eeh!!? Au!!?

Ili KATIBA mpya ikija serikali tatu iwe mtelezo KABISA sio!!?

Yaani mama no chambo cha wazenji MUUNGANO uvunjike!!?

Au nimeelewa vibaya!!?

Masahihisho tafadhali!!

Yaani leo muungano uvunjike kwa kupewa sehemu ya bandari wa Dubai , hivyo mlivyouwa watu kwa maelfu Zanzibar na kuchukuwa kila kitu kuanzia kiti kule UN, Bandari, Benki, Jeshi , Polisi Uhamiaji, , Vyama, Airport nk hamkuumia ,

Mkuki kwa nguruwe kwa .binaadamu ni mchungu
 
Wewe unadhani kashfa ya wazanzibar kuuza bandari ya Tanganyika ni suala dogo? Hivi huko msikitini Zanzibar mnafundishana ujinga gani? Acha kutetea wizi mkuu.

Yaani leo muungano uvunjike kwa kupewa sehemu ya bandari wa Dubai , hivyo mlivyouwa watu kwa maelfu Zanzibar na kuchukuwa kila kitu kuanzia kiti kule UN, Bandari, Benki, Jeshi , Polisi Uhamiaji, , Vyama, Airport nk hamkuumia ,

Mkuki kwa nguruwe kwa .binaadamu ni mchungu
 
we ni miongoni mwa yale mazuzu yanayokubali kila yanayoambiwa na yale manabii ya uwongo km kina Kakobe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…