Askofu Kakobe: Tanzania ni mpango wa shetani; Tanganyika inakuja!

hata sisi hatuutaki
Naomba nikuulize. Mfano, kama nipo na kiongozi hapa nilipo sasa hivi mwenye ushawishi nikimuuliza raia hawautaki muungano kwanini tunaukumbatia, akinijibu ni watu wachache kwa maslahi yao binafsi ila watanganyika hawana shida na muungano wana shida na maji, umeme na afya unadhani ni jibu gani sahihi la kumpa kuthibitisha kuwa kweli muungano hatuutaki?
 
Tunapinga na tutapinga mkataba wa kugawa Bandari zetu kwa warabu kwa mkata usioisha hadi kieleweke
Wenzenu Kenya wanchekelea na Uzwa zwa wa Watanzania
kuizuia DP Wolr kuendesha Bandari kwa Ufanisi ni kuipa Kenya Nafasi ya kutawala usafirishaji mizigo ya ,Uganda, Rwanda, burundi, Kongo.
Msumbiji na wao wanacheka ,kwani kuna Mizigo ya Malawi na Zambia watabeba.

Kuimarika kwa Bandari ya Dsm na Tanga ni Pigo kubwa kwa nchi husika kimkakati.

Chadema na Kanisa zinatumiwa na KENYA ili kulifelisha tukio hili la kiuchumi kwa TZ.
Serikali ya TZ haijauza wala haitauza Nchi kama watu wanvyo aminishwa.
 
Huyu mtu ana akili sana! Na kama ana mkono kwenye hilo bas wavaa suti nyeusi wa Bara hawezi kubali,ni mwendo wa mtifuano hadi kieleweke!!

yaani kama TANGANYIKA ikirudi na urundi,ruanda NAYO itarudi na kuwa nchi MOJA yaani TANGANYIKA ni kubwa sana!!

SASA Bas atachanga karata ili TANGANYIKA aishike kama sio yeye bas wajukuu zake ambao tunao humu mikoani wakila udaga na sisi!!!

itakua Big call!!
 
Wazanzibar hawawezi kuuvunja muungano kabla ya kuuza mali za Tanganyika kwa waarabu wenzao. Uuzaji huu wa mali za Tanganyika ni mwanzo wa kuvunjika kwa muungano. Watanganyika wasipochukua hatua, ipo siku nao watauzwa utumwani kwa waarabu.
wewe Zwazwa, unatumiwa na Kenya kama Chadema ili kufelisha mpango mkakati wa TZ wa kiuchumi.
 
we ni miongoni mwa yale mazuzu yanayokubali kila yanayoambiwa na yale manabii ya uwongo km kina Kakobe.
Tulia sindano ziwaingie. Bring back our port. Acheni wizi wa kisengerema tena mchana kweupe.

Kakobe ni mhubiri anayefuata misingi halisi ya imani na wala hana njaa, unafiki na uchawa walio nao viongozi wengine wa dini wanaochumia tumbo sadaka za waumini.

Wewe fikiria mzanzibar kuuza bandari ya Tanganyika kwa waarabu wenzake wewe unaona sawa? Kichwa chako ni cha kufugia nywele au kuhifadhi akili? hebu jitafakari kwanza kabla ya kunena.
 
uko sahihi kabisa mkuu sisi tunataka mambo ya msingi lakini sio huo muungano ambao uwepo au usiwepo hakuna tofauti
 
Elewa sana mkuu,

Alokwambia anapinga uwekezaji ni nani?

Tunapinga mkataba wa hovyo usio na kikomo halafu ni kwa Bandari zoote nchini, baharini, kwenye maziwa, mito na hata mabwawa!

Ulishawahi ona wapi mkataba kama Huu?
 
kwahiyo mnataka kulipiza kisasi ama?
 
CC:

NAMBA MOJA AJAYE NCHINI


Waona?

Wapo wasoma hapa.
 
wewe Zwazwa, unatumiwa na Kenya kama Chadema ili kufelisha mpango mkakati wa TZ wa kiuchumi.
Acha kufikiri kwa kutumia viungo bandia, tumia akili mkuu. Mmeishatunyonya watanganyika kwa kiasi cha kutosha. Toshekene na unyonyaji jamani. Mbona mnakuwa ruba kiasi hiki?

Halafu watu tukisema tumechoka kunyonywa mnakuwa wakali na kuingiza hoja za kijinga kwenye mambo ya msingi? Mna nini lakini?
 
Ni karma tu inawachemsha labda mtapata akili na kuirudisha nchi yetu
nchi yenu ipi zanzibar hahhahhhahhhah si wenyewe hatuwataki tunataka tubaki na Tanganyika yetu yenye baraka nyingi na utajiri wa kutosha haya mambo ya muungano ni ushetani mtupu kama alivyosema baba Askofu Kakobe.
 

Ngoja tufanye mpango wa kupitisha bomba la gass pale katikati ya kanisa lake
 
Elewa sana mkuu,

Alokwambia anapinga uwekezaji ni nani?

Tunapinga mkataba wa hovyo usio na kikomo halafu ni kwa Bandari zoote nchini, baharini, kwenye maziwa, mito na hata mabwawa!

Ulishawahi ona wapi mkataba kama Huu?
weka hapa hiicho kipengele cha mkataba kinachonesha ukweli wa madai yako pls.
isiwe umeongopewa na wana propaganda.
 
nchi yenu ipi zanzibar hahhahhhahhhah si wenyewe hatuwataki tunataka tubaki na Tanganyika yetu yenye baraka nyingi na utajiri wa kutosha haya mambo ya muungano ni ushetani mtupu kama alivyosema baba Askofu Kakobe.

Mbona mnatuletea vijana wa Mkuranga kuiongoza huku mkiuwa watu na kutia watu vilema kila ufikapo uchaguzi ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…