Demokrasia ni maridhiano na kuheshimiana Si ugomvi,mpira wa miguu kama refa anapendelea upande mmoja lazima upande mwingine ulalamike,nimekuwa nikichunguza siasa za miaka hii zimejaa chuki,enzi za miaka fulani bila kujali siasa watu walikuwa wanashirikiana,ila saizi mitaani ukionekana ni chama fulani,wa upande mwingine wanakuwa mbali nawewe.
Political tolerance ni muhimu kama Taifa,siyo lugha kama hizi
Vipi kuhusu ACT?Sijawahi kuwaonea huruma chadema, ni watu wajinga kuliko ujinga wenyewe! Nafurah sana napoona chadema inakanyagwa kisawasawa
Wapinzani na Chadema Wana represent Watanzania jinsi tulivyo. Kwenye hiyo set ina makundi yote yaliyopo Tanzania. Kama Chadema kuna wajinga wengi hiyo inamaanisha kuwa Tanzania ina Wajinga wengi. Hiyo ndiyo statistics.....!!Sijawahi kuwaonea huruma chadema, ni watu wajinga kuliko ujinga wenyewe! Nafurah sana napoona chadema inakanyagwa kisawasawa
Sisi wananchi tuko pamoja nao maana na sisi tumesuswa na hii serikali ya Magufuli na genge lake.Ameandika Baba Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza
*TUJIULIZE ZAIDI*
1. Hivi CHADEMA wamejitoa au wametolewa?
2. Hivi CHADEMA wamesusa au wamesuswa?
3. Hivi CHADEMA wameacha au wameachwa?
Wasomaji msinihukumu bila kunisikiliza. Maswali haya ni ya msingi kwangu.
- Media haiko na wapinzani
-Msajili hayuko na wapinzani
-Mahakama haiko na wapinzani
-Vyombo vya dola haviko na wapinzani
-Viongozi wa dini hawako na wapinzani
-Asasi za Kiraia haziko na wapinzani
-Bunge haliko na wapinzani
-Tume ya Uchaguzi haiko na wapinzani
-Wazee mashuhuri hawako na wapinzani
-Wana taaluma hawako na wapinzani
-Wasimamizi wa chaguzi hawako na wapinzani
-Walinzi wa amani hawako na wapinzani
-Waajiri hawako na wapinzani
-Mashirika yasiyo ya kiserikali hayako na wapinzani
-Wapinzani hawako na wapinzani.
-Hata mimi siko nao, naandika kujipendekeza kwao!
Hii inaitwa unyanyapaa (stigmatization) Kwa hiyo walichokifanya, kwa maoni yangu:
Hawakujitoa, wametolewa
Hawakususa, wamesuswa
Hawakuacha, wameachwa
Kimya cha makundi yote hapo, tafsiri yake ni kuwasusa, kuwaacha, kuwatoa katika mchakato wa kidemokrasia, na kupuuza madai yao. Walio wengi, wanaona ni salama ama kukaa kimya au kuwalaumu na kuwakejeli.
Watu, kundi au mtu aliye katika hali hii ya kuachwa, ni hatari kwa jamii, ni hatari kwa nafsi yake mwenyewe na mara nyingi hujikinai.
Baba wa Taifa aliwahi kusema,
"Amani ni tunda la haki. Palipo na amani kuna haki na palipo na haki kuna amani. Tanzania tuna amani lakini haina maana kuwa haki inatendeka. Kinachotokea ni kuwa, watu wana matumaini kuwa haki itatendeka siku moja. Watu hawa siku wakikata tamaa kuwa haipo, yatatokea maafa makubwa sana. Viongozi wana jukumu la kuhakikisha matumaini ya watu kupata haki hayapotei".
Dumisha Uhuru na Umoja,
Wake kwa waume na watoto,
_Mungu Ibariki Tanzania._
hv ni kweli jiwe tangu aingie siasani yaan tangu aanze kuwa mbunge hajawahi kushindanishwa nasikia ana bahati ya kupita bila kupingwa ila kasoro tu hii ya 2015 ambayo nayo IT masaki ilihusika
Wapinzani walianza vibaya na utawala huu wa awamu ya tano, kuanzia mwanzo siku anaapishwa Raisi walitoka nje ya ukumbi wa bunge, wakijipanga nchi isitawalike, kwa hiyo ilibidi uongozi wa juu wa Taifa ujipange ili kuwadhibiti wapinzano ambao nia yao ilikuwa kupinga kila kitu kama ambavyo wanafanya sasa. Hivyo kinachotokea leo ni kuvuna walichokipanda.Demokrasia ni maridhiano na kuheshimiana Si ugomvi,mpira wa miguu kama refa anapendelea upande mmoja lazima upande mwingine ulalamike,nimekuwa nikichunguza siasa za miaka hii zimejaa chuki,enzi za miaka fulani bila kujali siasa watu walikuwa wanashirikiana,ila saizi mitaani ukionekana ni chama fulani,wa upande mwingine wanakuwa mbali nawewe.
Political tolerance ni muhimu kama Taifa,siyo lugha kama hizi
Sidhani kama kafanya utafiti kwanza. Mtu wa Mungu kujiingiza kwenye mijadala bila utafiti sidhani kama anatutendea haki. Nilitegemea aanze na uchambuzi wa mafai yao akiyathibitisha kuwa ya kweli bila kutia shaka na hapo alichokiandika kingekuwa sahihi la sioni kama tuna jambo la kujifunza kutoka kwa Baba Askofu.Ameandika Baba Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza
*TUJIULIZE ZAIDI*
1. Hivi CHADEMA wamejitoa au wametolewa?
2. Hivi CHADEMA wamesusa au wamesuswa?
3. Hivi CHADEMA wameacha au wameachwa?
Wasomaji msinihukumu bila kunisikiliza. Maswali haya ni ya msingi kwangu.
- Media haiko na wapinzani
-Msajili hayuko na wapinzani
-Mahakama haiko na wapinzani
-Vyombo vya dola haviko na wapinzani
-Viongozi wa dini hawako na wapinzani
-Asasi za Kiraia haziko na wapinzani
-Bunge haliko na wapinzani
-Tume ya Uchaguzi haiko na wapinzani
-Wazee mashuhuri hawako na wapinzani
-Wana taaluma hawako na wapinzani
-Wasimamizi wa chaguzi hawako na wapinzani
-Walinzi wa amani hawako na wapinzani
-Waajiri hawako na wapinzani
-Mashirika yasiyo ya kiserikali hayako na wapinzani
-Wapinzani hawako na wapinzani.
-Hata mimi siko nao, naandika kujipendekeza kwao!
Hii inaitwa unyanyapaa (stigmatization) Kwa hiyo walichokifanya, kwa maoni yangu:
Hawakujitoa, wametolewa
Hawakususa, wamesuswa
Hawakuacha, wameachwa
Kimya cha makundi yote hapo, tafsiri yake ni kuwasusa, kuwaacha, kuwatoa katika mchakato wa kidemokrasia, na kupuuza madai yao. Walio wengi, wanaona ni salama ama kukaa kimya au kuwalaumu na kuwakejeli.
Watu, kundi au mtu aliye katika hali hii ya kuachwa, ni hatari kwa jamii, ni hatari kwa nafsi yake mwenyewe na mara nyingi hujikinai.
Baba wa Taifa aliwahi kusema,
"Amani ni tunda la haki. Palipo na amani kuna haki na palipo na haki kuna amani. Tanzania tuna amani lakini haina maana kuwa haki inatendeka. Kinachotokea ni kuwa, watu wana matumaini kuwa haki itatendeka siku moja. Watu hawa siku wakikata tamaa kuwa haipo, yatatokea maafa makubwa sana. Viongozi wana jukumu la kuhakikisha matumaini ya watu kupata haki hayapotei".
Dumisha Uhuru na Umoja,
Wake kwa waume na watoto,
_Mungu Ibariki Tanzania._
khaaaaa haya bana ntautafutaUnaitwa magufuli tena
Ameandika Baba Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza