Askofu Kalikawe Bagonza: Tujiulize zaidi, CHADEMA wamejitoa au wametolewa?


Sasa hivi nikijua wewe ni li-ccm sinunui kitu kwako na ukihitaji huduma yangu nakutoza a premium price.
 
Baba Askofu polisi mkubwa kabisa IGP kasema ukahubiri neno siasa haikuhusu na kwakua ulishaambiwa usipotaka kusikiliza ni kupigwa tu eeh, nami nasema wapigwe tu.

MWANAMKE aiye na mvuto ndiye mke bora, mrembo nyumba ndogo.
 
Sijawahi kuwaonea huruma chadema, ni watu wajinga kuliko ujinga wenyewe! Nafurah sana napoona chadema inakanyagwa kisawasawa
Wapinzani na Chadema Wana represent Watanzania jinsi tulivyo. Kwenye hiyo set ina makundi yote yaliyopo Tanzania. Kama Chadema kuna wajinga wengi hiyo inamaanisha kuwa Tanzania ina Wajinga wengi. Hiyo ndiyo statistics.....!!
 
Sisi wananchi tuko pamoja nao maana na sisi tumesuswa na hii serikali ya Magufuli na genge lake.
 
hv ni kweli jiwe tangu aingie siasani yaan tangu aanze kuwa mbunge hajawahi kushindanishwa nasikia ana bahati ya kupita bila kupingwa ila kasoro tu hii ya 2015 ambayo nayo IT masaki ilihusika
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji119][emoji119][emoji124][emoji124][emoji124]
hv ni kweli jiwe tangu aingie siasani yaan tangu aanze kuwa mbunge hajawahi kushindanishwa nasikia ana bahati ya kupita bila kupingwa ila kasoro tu hii ya 2015 ambayo nayo IT masaki ilihusika
 
Wapinzani walianza vibaya na utawala huu wa awamu ya tano, kuanzia mwanzo siku anaapishwa Raisi walitoka nje ya ukumbi wa bunge, wakijipanga nchi isitawalike, kwa hiyo ilibidi uongozi wa juu wa Taifa ujipange ili kuwadhibiti wapinzano ambao nia yao ilikuwa kupinga kila kitu kama ambavyo wanafanya sasa. Hivyo kinachotokea leo ni kuvuna walichokipanda.
 
Sidhani kama kafanya utafiti kwanza. Mtu wa Mungu kujiingiza kwenye mijadala bila utafiti sidhani kama anatutendea haki. Nilitegemea aanze na uchambuzi wa mafai yao akiyathibitisha kuwa ya kweli bila kutia shaka na hapo alichokiandika kingekuwa sahihi la sioni kama tuna jambo la kujifunza kutoka kwa Baba Askofu.
 

Bishop ni wakati muafaka ukatazama mambo Kwa macho yako mawili.
Nina Mashaka you have lost all your lenses by merely being a follower.
You are a media personal and a supporter of the subject.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…