Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Kwenye Dini Ya HakiYeye ni yeye hiyo haipo kwenye uislamu ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye Dini Ya HakiYeye ni yeye hiyo haipo kwenye uislamu ?
Akili zingine bana! Kuwa ni tukio kubwa la kumbukizi ndiyo iwe sababu ya kuhalilisha gharama kubwa. Ndiyo! Viongozi kitaifa huwajibika kusafiri kwa kuwa hayo ni majukumu yao ya kila siku.Khaa! Sasa hao viongozi wa kitaifa wanaishi Butiama? Si lazima wangesafiri kutoka Dar, Dom na kwengine to Butiama! Kuna mambo mengine ya kitaifa tusipende kuyajengea hoja hasi. Hili ni tukio kubwa kuhusu Baba wa Taifa letu.[emoji120][emoji120][emoji120]
Hivi huyo Askofu Kilaini sio yule ambaye, naye alipata mgao wa pesa za Escrow wakati ule??? Kaazi kwelikweliHivi huwa tunamuombea nini mtu ambaye mema au mabaya yake yamekwishaandikwa, kwanini tusiitumie nafasi hiyo kufanya wema sisi wenyewe? Je, sisi ni wema kiasi gani mpaka tuweze kuwaombea wenzetu?
Unaletaje mambo ya Magu hapa wewe! Peleka upuuuzi wako hukoAsante Mama Samia, Rest easy anko Magu
Ila kule Pemba nimeona eti hawataki lijengwe kanisaKanisa Katoliki.... Samia Muislam mwenye msimamo mkali wa Kizenj lkn naam kaingia kwa Bwana Yesu, safi sana nchi yetu maana na bwana yule alikuwa anavaa balagashia anaingia kwa wale jamaa mpaka aliwachangishia swadakar ya kujenga Masjid..mpaka alimuomba Mmorocco kujenga msikiti...
Taifa lenye amani..safi sana Mhe. Rais
Hii tuachie sisi wakristo wakatoliki. Itakuchukua muda mrefu mno kujifuñza, kuelewa- imani yetu.Hivi huwa tunamuombea nini mtu ambaye mema au mabaya yake yamekwishaandikwa, kwanini tusiitumie nafasi hiyo kufanya wema sisi wenyewe? Je, sisi ni wema kiasi gani mpaka tuweze kuwaombea wenzetu?
Kikwazo alikuwa ni Mama NYERERE na familia yake kuna jinsi ambavyo walisema japo NYERERE katenda Mengi mema basi achukuliwe tu mtu wa kawaida !Inaelekea ule mchakato wa kumfanya Nyerere mtakatifu bado unaendelezwa na Kanisa Katoliki.
Japo, nilikuwa nikiupinga mwanzo, lakini baada ya kujua maisha ya watakatifu wengine yalikuwaje, ndipo nikagundua nilikuwa nakosea.
Mwenye kuyajua makosa ya mwanadamu na kuyasamehe ni Mungu pekee, kuleta ujuaji kwenye haya mambo ni sawa na kuingilia kazi isiyonihusu.
Mchakato unaofanyika kwa Nyerere ni sehemu ya imani ya kanisa Katoliki sasa wewe unataka kulifundisha kanisa katolikii mambo ya imani? Wewe endelea kuamini unavyoona sawa na kanisa liache liamini linavyoona sawa.Huo mchakato wauache tu, maana viongozi wengi hawaishi maisha manyoofu wanapokuwa wanatawala.
Wakati mwingine hawatendi haki na matendo mengine mabaya ambayo hatuyaoni sisi wanaotutawala. Sisi huwa tunaangalia ya nje tu lakini MUNGU anakusanya data zetu za kila siku mpaka unapokufa.
Sasa kama kuna doa lolote wakati wa maisha yako hata kama ulikuwa unaishi vizuri kwa mtazamo wa watu wanaokuona wakati ya gizani hawayajui jehenamu inakuhusu.
Kwa MUNGU hakuna kupindishapindisha kama majaji wetu tulionao. Kule unaletewa screen ya maisha yako yote mazuri na mabaya yako unapewa hukumu yako stahiki kulingana na matendo yako.
Tumepewa akili na utashi, kuamini au kutoanini. Tengeneza maisha yako ya kimbingu ungali mzima kwa matendo mema kwa watu na kumwamini MUNGU wako.
Kama nilichoandika hapo hujakielewa sina chakukusaidia.Kwamba wezi na wauaji tusiwahukumu,tuwaache waendelee kuiba na kuua kuogopa tutahukumia!?...na Nani!?
Isipokua mumewe yule ni rais tofautishaAisee. Kumbe muislam anaweza ingia kanisani na kuabudu vizuri tu
Jifiche kwenye kichaka Cha 'hujaelewa'...lakini i dhahiri ndani ya fuvu lako kwamba hiyo ni stupid argumentKama nilichoandika hapo hujakielewa sina chakukusaidia.
Swala la mwalimu Nyerere kura mtakatifu sio rahisi achilia mbali juwa mwenye heri.
Vigezo vya kufanywa kua mtakatifu ni ngumu sana kupatikana kwa mwana siasa tena mwafrika ,tena chini ya jangwa la Sahara .
Hii ikiwezekana kwa wanasiasa wa Kirumi tu enzi hizo.
Ni fumbo kubwa sana mkuu,Inaelekea ule mchakato wa kumfanya Nyerere mtakatifu bado unaendelezwa na Kanisa Katoliki.
Japo, nilikuwa nikiupinga mwanzo, lakini baada ya kujua maisha ya watakatifu wengine yalikuwaje, ndipo nikagundua nilikuwa nakosea.
Mwenye kuyajua makosa ya mwanadamu na kuyasamehe ni Mungu pekee, kuleta ujuaji kwenye haya mambo ni sawa na kuingilia kazi isiyonihusu.
Mfia dini, Ila nyie wavaa kobazi ni wapbavu sanaNyerere hawezi kuwa Mtakatifu wakati amezulumu mamia ya watu mali zao.
Aisee. Kumbe muislam anaweza ingia kanisani na kuabudu vizuri tu