Askofu Lusekelo (Mzee wa Upako): Kesi ya Mbowe inakera sana na inaniumiza moyo

Updates za mahakamani tafadhari wahusika ni ombi langu tuunganishe tuelewe kinachoendelea
 
Amina Baba askofu Lusekelo.Kama ni kweli ni kweli wamemsingizia basi wahusikia wafungiwe mawe na kutoswa baharini.
Bavicha mnanena kwa Lugha?

Leo kusekelo mnamuita baba askofu?
 
Mzee wa upako umazungumza kwa hekima sana, na kwa uangalifu pia. Hekima imeonekana pia namna unavyoweza kumfikisha ujumbe mtawala, hata kama ni ujumbe mkali, lakini ufike ukiwa umepoa ii kumpa mtawala kutafakari, kama akiwa na hekima.
 
Umeandika ujinga mtupu. Kumbambikia mtu kesi ni kumshughulikia mtu kwa mujibu wa sheria?
 
Eti tuiachie mahakamani itende haki, we ungekubali? Ushahidi wa kupanga unaweza kumkuta mtu na hatia, ndio maana pingamizi kibao ni dalili ya uonevu, mnalazimisha mtu maelezo yake, wakati yanatolewa chini ya vitisho. Sasa wanayakataa, HATA AKIKUTWA NA HATIA ITAKUWA SIO HALALI!
 
Hii kesi ni biashara kwa mahakimu, mawakili na majaji wanaosimamia kesi hii hizo per diem wanazolipwa ni kufuru thus KILA siku wanaisogeza mbele Ili waendelee kupiga posho.
Hii kesi ya kutunga haina tija kabisa kwa maisha ya mtza zaidi ya biashara kwa wajanja.
 
Mzee wa upako umazungumza kwa hekima sana, na kwa uangalifu pia. Hekima imeonekana pia namna unavyoweza kumfikisha ujumbe mtawala, hata kama ni ujumbe mkali, lakini ufike ukiwa umepoa ii kumpa mtawala kutafakari, kama akiwa na hekima.
Kabisa asee
 
hivi sheria zetu zinasemaje kuhusu kuingilia mahakama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…