Askofu Lusekelo (Mzee wa Upako): Kesi ya Mbowe inakera sana na inaniumiza moyo

Askofu Lusekelo (Mzee wa Upako): Kesi ya Mbowe inakera sana na inaniumiza moyo

Kama wanasikia na kutafakari basi ujumbe umefika
Mzee wa upako umazungumza kwa hekima sana, na kwa uangalifu pia. Hekima imeonekana pia namna unavyoweza kumfikisha ujumbe mtawala, hata kama ni ujumbe mkali, lakini ufike ukiwa umepoa ii kumpa mtawala kutafakari, kama akiwa na hekima.
 
Hii kesi ni biashara kwa mahakimu, mawakili na majaji wanaosimamia kesi hii hizo per diem wanazolipwa ni kufuru thus KILA siku wanaisogeza mbele Ili waendelee kupiga posho.
Hii kesi ya kutunga haina tija kabisa kwa maisha ya mtza zaidi ya biashara kwa wajanja.
Na polisi wa mahakama, vikao vya uendeshaji kesi wamepiga pesa nyingi sana. Mashahidi wa kutengeneza na wao wamepiga chao. Yaani unaweza kuta mikopo yote tuliyokopa imeishia kwenye hii kesi
 
Eti tuiachie mahakamani itende haki, we ungekubali? Ushahidi wa kupanga unaweza kumkuta mtu na hatia, ndio maana pingamizi kibao ni dalili ya uonevu, mnalazimisha mtu maelezo yake, wakati yanatolewa chini ya vitisho. Sasa wanayakataa, HATA AKIKUTWA NA HATIA ITAKUWA SIO HALALI!
Ushahidi wa kupanga ni mbaya mno. Hujikuta wamepagwa mashahidi wengi ili kulazimisha uongo uwe ukweli. Kigezo cha kwanza cha kujua ushahidi na kesi za kubumba ni PGO
 
Bahati mbaya kwa mamlaka kile walichotegemea kimekuwa sio. Kila mtu sasa anajua Mbowe anaonewa na amebambikiwa,sbb kuu ni kudai katiba mpya
 
Na polisi wa mahakama, vikao vya uendeshaji kesi wamepiga pesa nyingi sana. Mashahidi wa kutengeneza na wao wamepiga chao. Yaani unaweza kuta mikopo yote tuliyokopa imeishia kwenye hii kesi
True Wana njia nyingi Sana za kupiga pesa hawa, Hakuna kesi pale,wakishajivutia pesa za kuwatosha DPP anambiwa aifute.
 
True Wana njia nyingi Sana za kupiga pesa hawa, Hakuna kesi pale,wakishajivutia pesa za kuwatosha DPP anambiwa aifute.
Yeah pesa imeanza kupigwa toka mwaka jana akina Kingai &co then DPP mpaka mahakamani na mawakili
 
Bahati mbaya kwa mamlaka kile walichotegemea kimekuwa sio. Kila mtu sasa anajua Mbowe anaonewa na amebambikiwa,sbb kuu ni kudai katiba mpya
Every body knows. Hata hizo kesi za Kina Ligwenya na Adam ziliandaliwa kwa lengo lile lile ili zimchafue mbowe wakati wa Uchaguzi mwaka jana. Sijui nini kilikwamisha mpaka ikaja kuanza leo.
 
Amani ya Nchi ni muhimu zaidi kuliko mwanasiasa yeyote yule.

Kamwe tusijaribu kuchezea au kufanya mchezo na Amani ya Nchi.

Mbowe sio MALAIKA.................................hivyo anaweza kutenda makosa ya kihalifu kama walivyo binaadamu wengine.
 
AMANI ya NCHI ni ya MUHIMU zaidi kuliko Mbowe au mwanasiasa yeyote yule.

Funzo kwa wanasiasa kwa hiki anacho pitia Mbowe kwa sasa ni;

Mtu yeyote yule au mwanasiasa yeyote atakaye jaribu kuchezea/kucheza na Amani ya Nchi atashughulikiwa kwa mujibu wa sheria bila kujali wadhifa wake, awe CCM, NCCR, CDM, CUF, n.k atashughulikiwa kikamilifu.

Amani yetu ni kitu muhimu zaidi kuliko mtu yeyote au chama chochote kile.
Kachezea Nini what proof do you have? Kwanin mnavuka mipaka kwenye haki
 
Back
Top Bottom