Askofu Lusekelo (Mzee wa Upako): Kesi ya Mbowe inakera sana na inaniumiza moyo

Amani ya nchi hii iko mikononi mwa Mwenyezi Mungu na Mungu ni Mungu wa haki. Anachotendewa Mbowe siyo haki, hata Kama unakula na kuamkia kwa hao wanaosigina haki na Uhuru wa Mbowe, jirudi hujachelewa. Na Kama unafanya makusudi sababu ya tumbo au ushabiki Mungu ndiye anajua, utajibu siku ya hukumu.
 
Hakika
 
Mzee wa upako subiri mahakana itoe jibu. Endelea na mambo yako ya Biblia.
Biblia kuanzia kitabu cha Mwanzo hadi Ufunuo kinafundia Kweli na Haki.yote.

Askofu ameutendea haki utumishi wake.
 
Sio kanisa la TAG HILO UWE NA UHAKIKA NA UNACHOKIANDIKA
 
Noma sana !
 
Pia Mbowe sio gaidi
kama ni malaika basi nakubaliana nawe kuwa Mbowe sio Gaidi lkn Kama Mbowe ni binaadamu kama mimi na wewe basi inawezekana kabisa akawa gaidi......maana anaweza kutenda makosa......hajakamilika......
 
CCM inafanya kila inaloweza ili kuhakikisha Damu za Watanzania zinamwagika.
Sasa MUNGU yupo,watakufa wao mmoja mmoja hadi waishe wote kumanina mbwa hawa......
huu ndio mfano wa wafuasi wa mbowe, soma hiyo coment ya huyu mfuasi wa mbowe (drink water), ni ushahidi tosha kuwa Mbowe alifanikiwa kuwafundisha wafuasi wake vitendo vya kihalifu, na hii ndio ilikuwa mipango ya mwenyekiti ya kuwauwa viongozi wa serikali........kweli maji hufuata mkondo.
 
kama ni malaika basi nakubaliana nawe kuwa Mbowe sio Gaidi lkn Kama Mbowe ni binaadamu kama mimi na wewe basi inawezekana kabisa akawa gaidi......maana anaweza kutenda makosa......hajakamilika......
Uwe na akili basi angalau kidogo,ubinadamu wa Mbowe haumfanyi awe gaidi,kutokamilika kwake hakumfanyi awe gaidi.

Unahitaji ushahidi wa kisheria kumtuhumu ugaidi na sio hadithi za akina Kingai na wajinga wenzake
 
Uwe na akili basi angalau kidogo,ubinadamu wa Mbowe haumfanyi awe gaidi,kutokamilika kwake hakumfanyi awe gaidi.

Unahitaji ushahidi wa kisheria kumtuhumu ugaidi na sio hadithi za akina Kingai na wajinga wenzake
ndio maana yupo mahakamani, sasa kwa nini mnasema sio Gaidi wakati ushahidi haujakamilika na mahakama haija toa hukumu?!
Mahakama ndio yenye mamlaka ya kusema kama alikuwa anafanya vitendo vya kigaidi au la, tuache mahakama ifanye majukumu yake ya kikatiba.
sio mara leo unamsikia mzee Mbatia oohh kesi ya Mbowe ifutwe!! ohhh Mbowe sio gaidi!! huko ni kuingilia uhuru wa mahakama
 
Confirmed,empty skull...baki hivyo hivyo
 
BUKU 7 wanamchukia Mama sababu Mama hataki siasa Cha mitandaoni za kuchafuana hajaweka fungu lao.
Wanamuona Pole pole ni shujaa wao.
Unamfahamu muasisi wa Lumumba BUKU 7 Club?? For your information, ilianza enzi za Kikwete, Nape akiwa msemaji wa chama, Magufuli aliendeleza tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…