Askofu Maximillian Machumu: Mkataba wa Bandari tunasema HAPANA

MKATABA HAUNA KIKOMO????
 
Amefanya ubaguzi upi,acha uhuni, mmeyakayaga, mwamba kawakilisha hoja kiutulivu sana, kama hujamwelewa jua mwarabu amefanya yake kwako
 
MKATABA HAUNA KIKOMO????
Project contracts zina ukomo, pia zina financials. Mikataba ya kibiashara inajumuisha pande mbili zinazoongea kwa kina.

Tatizo la wengi wetu nchi hii ni uelewa kuwa mdogo kama huyu Akosfu Maximilian, halafu mtu hajui kama ana uelewa mdogo anaishia kuwa msambazaji wa chuki kwa wajinga wenzake wengi tu.
 
Yaani wapingaji wa mkataba huu kwa sehemu kubwa ni wagalatia. Hata mkutano wa kesho watakaohutubia ni wagalatia.
Kwa hili mnatia mashaka ikiwa issue ni mkataba tu...
Huna akili, la
Ujinga tu , zile ni nchi na mamlaka kamili, Tz ,Congo n.k ni vitu viwili tofauti , achana na bandari za watu ,mwafaa
 
Mkataba uliovujaa haukuwa na kikomooo tena website ya bunge ilijichanganya kuupost ilidhani inaweka uwazi kwenye hili jambo kumbe inaweka wazi MADUDU yaliyopo kwenye mkataba...!! leo unaona kama watanzania wana udini ila kesho mambo yakianza kwenda ovyoo na hakuna room ya kuvunja wala kurekebisha mkataba wa ovyooo ndo mtaelewa upumbavu mnaotetea yani hili tatizo la bandari kushindwa kuperform limetatuliwa kihunii na kishortcut sanaa ni sawa na ukiwa huna hela ukope kausha damu kwa riba kubwa utasolve tatizo kwa muda tu.
 
Watu kama hawa ni hatari sana kwenye jamii hata rwanda mwaka 1994 mauaji yalichochewa na watu wa aina hii. Hizi siyo kauli za kuchekewa hata kidogo.
 
Kwani mkataba watu walipata nafasi ya kuupitia na kutoa maoni yao serikalini kabla haujapitishwa kwa haraka bungeni?

Mkataba wenyewe umepatikana kwa kuvuja.

What are you talking about?
What Iam talking is rudisha bandari za wenye nchi , mwaafa ,ichi ni kiama kwa ccm na serikali ya uyu mama
 
Mkuu umejibu vizuri kwa uyu akili matope , waufute hakuna namna , mwafaaa alisema mwenda zake
 
Umekuwa mtihani kweli kweli, uwezekano wa maza house kupata sifuri enzi zetu tuliita yenye masikio ni mkubwa kwelikweli
 
Huna akili, la

Ujinga tu , zile ni nchi na mamlaka kamili, Tz ,Congo n.k ni vitu viwili tofauti , achana na bandari za watu ,mwafaa
Tanzania tunaficha agenda ya udini kwenye hoja ya kupinga huu uwekezaji. Tunajifanya kama vile tuna mashaka na kinachotarajiwa kufanyika, hakuna mashaka yoyote ni ubinafsi na unafiki wenye udini ndani yake!.

Tunachosahau ni kwamba mikoa hii yote ya mashariki imejaa waislam, Mtwara, Lindi, Pwani, Dar na Tanga pote humo kuna waislam wengi sana.
 
Room ya kuvunja imo kwenye mkataba huo huo soma kifungu namba 20. Kaka usidhani wanasheria wetu ni vilaza kama tunavyowachukulia.

Kila kitu kimo kwenye mkataba huu huu tunaosema eti ni mbaya, ni lugha yenye roho mbaya ndani yake. Ni lugha inayowapendeza mafisadi wachache pale bandarini wanaofaidika na foleni za meli na upigaji wote haramu unaoendelea.
 
We muhuni tu,alisema ndugu Polepole, apa udini upo wapi ,swala sio huekezaji swala ni mkataba wa kihuni, acha upumbavu , shauri yako utakuja kufa mdomo wazi
 
mwanasheria gani umemsikia akisupport huu utopolo??
 
Jamii forum mnatukosea sana , kama sio nikosea sana why mnatunga mambo yenu nje ya kile mtoa mada ameleta ?

Binafsi kichwa habari kilisema amkeni mambo moto , mwanamapinduzi asema hapana , why mnabadilisha kichwa cha habari ,hii sio sawa na ni mara ya pili mnanifanyia hivi
 
mwanasheria gani umemsikia akisupport huu utopolo??
Hamza Johari, Dr Possi na wasomi wengi wenye kufanya biashara za bandarini wapo tayari kwa huu uwekezaji.

Huko Mtwara hata kesho wanazitaka connections za mwekezaji wauze korosho yao, wenye kufanya biashara ambao ndio wenye kuushikilia uchumi wa Tanzania wapo tayari muda wowote kumpokea mwekezaji.

Hawa wapiga kelele za harakati, hawana hata biashara ya kuagiza viwembe huko nje, hawana hata kontena moja la kusafirisha matikiti kuyapeleka huko ughaibuni lakini wao ndio wanaopiga makelele mengi humu jamvini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…