Askofu Maximillian Machumu: Mkataba wa Bandari tunasema HAPANA

Wacha upotoshaji
Unaokota okota na kuunga unga hoja za kuitetea IGA huku mkiingiza fyoko fyoko za maneno na Udini.
 
Serikali sikivu inabidi iteme ndoano ,hakuna cha kufuja pesa kuzunguka TZ nzima kutoa elimu ya DPW ,tatizo siyo manufaa au faida za DPW ,tatizo ni mkataba mbovu wa kimangungo.

"Ma-far-ler wamesaini mikataba ya kibwege na kijinga huku wakiwa na wataalam wao" - Lusekelo
 
Huna akili, au kama ipo basi ni akili matope
 
Serikali sikivu inabidi iteme ndoano ,hakuna cha kufuja pesa kuzunguka TZ nzima kutoa elimu ya DPW ,
Naongezea tu; Serikali makini ingefanya kutoa elimu mwanzoni baada ya kutoka Dubai expo, badala yake, wamerudi wakakaa kimya(kwa aibu) kwa waliyoyafanya Wamekerupushwa sasa ndio wanajidai wanatoa elimu, na kama ulivyosema, wanapoteza fedha za umma zaidi! Wanafanya haya kinyume nyume.

tatizo siyo manufaa au faida za DPW ,tatizo ni mkataba mbovu wa kimangungo.
Hoja zao za mauzo ya tija nazo ni hafifu
"Ma-far-ler wamesaini mikataba ya kibwege na kijinga huku wakiwa na wataalam wao" - Lusekelo
100%
 
Walikaa kimya kwa sababu wanajua.
 
Waislamu wako Iran, Palestine na Afghanistan

Huko mswideni hatii pua😂😂 dadeki
 
CCM someni hapa
 

Attachments

  • EA82A62B-4FEC-4F8A-91C2-81653AEA4428.jpeg
    49.8 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…