WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Ha ha ha ha haaaaaa na Mimi Mwanapinduzi nasema HAPANAAAAAAA.Sina mengi ya kusema sikiliza hiyo video ya mwanamapinduzi ndio mjue wale wauza bandari za watu walivyoyakanyaga, maskini wee mwafaa.
View attachment 2695165
jibu swali mkataba wamesaini dp au dubai goverment? Pia jibu pale kwenye sahihi tupu bila jina wala cheo ndio waziri wa dubai kasaini?DP wapo Dubai. Serikali yetu na ile ya Dubai wamesaini pamoja.
Hao maaskofu walikuwa mstari wa mbele kumkosoa kwwnye masuala mengi likiwemo la COVID-19Wasingekuwa na jeuri ya kupinga suala nyeti na lenye utaifa kama hili la uwekezaji wa bandari.
Hakuna kitu kama hicho. Masuala ya Uisilamu ni ya Uisilamu, Waarabu ni ya Waarabu tu kama walivyo Waafrika. Tatizo hapa ni Udhalimu walioufanya Waarabu, udhalimu wanayo yafanya waarabi dhidi ya Mwafrika popote pale alipo. Ni mnyanyapaa. Ana damu nyingi sana mikononi mwake dhidi ya Mwafrika na hili haliwezi kusahahulika kamweKuna dhana potofu ya ubaguzi ya uarabu wa watu wa Dubai, hii nyuma yake kuna masuala ya uislam.
Mkataba huo huo wa bandari unakwenda kutumika kuiendeleza. Hata utumie maneno gani huyo askofu anatumia kete haramu ya ubaguzi inayoweza huko mbeleni kumgeuka.Hao maaskofu walikuwa mstari wa mbele kumkosoa kwwnye masuala mengi likiwemo la COVID-19
Hakuna kitu kama hicho. Maauala ya Uisilamu ni ya Uisilamu, Waarabu ni Waarabu tu kama walivyo Waafrika. Tatizo hapa ni Udhalimu walifanya Waarabu, udhalimu wanayafanya waarabi dhidi ya Mwafrika popote pale alipo. Ni mnyanyapaa. Ana damu nyingi sana mikononi mwake dhidi ya Mwafrika na hili haliwezi kusahahulika kamwe
Waarabu ni wabaguzi period. Sasa usibadilishe kete hapa kuwa Waafrika ndio wanambagua Mwarabu. Hapana. Na ukirudi kwenye suala hili la bandari, watu washasema Mkataba ni Mbovu period! hayo mengine ni hoja za kipumbavu tu. Hapingwi Raisi Samia haipingwi dini ya Kiisilamu. Mkataba ni Mbovu!
Mkataba unakwenda kutumika hapa TPA, yaani mchezo umekwisha tayari, haijalishi pale kuna saini ya nani mkuu kitansa.jibu swali mkataba wamesaini dp au dubai goverment? Pia jibu pale kwenye sahihi tupu bila jina wala cheo ndio waziri wa dubai kasaini?
Mkataba huo huo wa bandari unakwenda kutumika kuiendeleza. Hata utumie maneno gani huyo askofu anatumia kete haramu ya ubaguzi inayoweza huko mbeleni kumgeuka.
Kwahiyo? akiwa anafanya biashara na wadhalimu wenzake(anawekeza kwao) ndio ina maana amesafishika?Huyo mwarabu mwenye damu nyingi na udhalimu anamiliki bandari Uingereza, Marekani na China. Kote huko hawana kinyongo nae ila sisi huku watu weusi ndio tuna haki ya kuishi na visasi na kutosamehe!!.
Hakuna msafi duniani hapa. Ujerumani imeua Wanamibia zaidi ya milioni moja lakini leo Namibia wamejaa wajerumani.Kwahiyo? akiwa anafanya biashara na wadhalimu wenzake(anawekeza kwao) ndio ina maana amesafishika?
Tuna haki ya kukataa Uwekezaji na Mikataba mibovu.
.....Hivi kuna Mwanadamu mwenye hulka ya visasi zaidi ya Mwarabu? Wacha Joel, wacha.
Tunayo haki ya kusema Yes or No, kwa mkataba huu ni No.
Tuko pamoja mkuu nami nasema HapaanaaHa ha ha ha haaaaaa na Mimi Mwanapinduzi nasema HAPANAAAAAAA.
mkiambiwa mkataba wa kichizi mnaona watu wabaya. Ujibu maswali yangu unaniletea propaganda za kidwanziMkataba unakwenda kutumika hapa TPA, yaani mchezo umekwisha tayari, haijalishi pale kuna saini ya nani mkuu kitansa.
Inakwenda kuandikwa mikataba ya biashara, watu hawataki kupoteza fursa ya kuongeza pato hapo bandarini.
Acha uhuniKuna wakati na wewe una vimaneno vya hovyo na uchonganishi unavyoviandika pasina kufikiri vema! Hapa hatufurahishi genge!
Ukitaka kuingia hapa, uwe timamu kichwani ndo utype bhana! Kuna wakati unahitaji kuacha muda upite kidogo baada ya kula kande la choroko johnthebaptist
Alafu unajiita johnthebaptist.Duh
Kaharufu ka Ugalatia!
Mtoto wa mzee mgayaAlafu unajiita johnthebaptist.
Tafuta jina lingine.
Utetezi usio na ushahidi hauna mashiko na maana. Tuwekee hiyo mikataba ya dpw na nchi ulizozitqja tuiilinganishe na huu wa Tanzania. Vinginevyo kaa kwa kutulia.Mkataba huo huo wa bandari unakwenda kutumika kuiendeleza. Hata utumie maneno gani huyo askofu anatumia kete haramu ya ubaguzi inayoweza huko mbeleni kumgeuka.
Huyo mwarabu mwenye damu nyingi na udhalimu anamiliki bandari Uingereza, Marekani na China. Kote huko hawana kinyongo nae ila sisi huku watu weusi ndio tuna haki ya kuishi na visasi na kutosamehe!!.
Sio wew ndio utulize kipeleUtetezi usio na ushahidi hauna mashiko na maana. Tuwekee hiyo mikataba ya dpw na nchi ulizozitqja tuiilinganishe na huu wa Tanzania. Vinginevyo kaa kwa kutulia.
Kwani Mimi ndiye niliyefanya comparison? Punguza midandio usijevunjwa nyonga!Sio wew ndio utulize kipele
Na wewe uwe unawaza kia kili zaidi sio kimavi maviKwani Mimi ndiye niliyefanya comparison? Punguza midandio usijevunjwa nyonga!
Ushavimba tayari! Pigo moja tu limekutoa nundu ya ubongo! Kati yetu Nani anayewaza kimasaburi? Dogo, unanitakia ban ya maisha hapa nikikujbu kwa kadri ya umasaburi wako na hivi usivyojua matumizi ya forum hii nakusamehe.Na wewe uwe unawaza kia kili zaidi sio kimavi mavi