Askofu Mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa ateuliwa kuwa Kardinali

Askofu Mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa ateuliwa kuwa Kardinali

Sheria za kanisa namba moja ni utii, napokea kwa furaha na kumshukuru Mungu kwa kupata kadinali kwa mara nyingine tena hapa Tanzania ila binafsi naona kama sio sawa hivi!
Sio sawa how....ulitaka awe nani?

Na bado kuna Novatus Rugambwa Askofu na balozi wa papa...
Na wote wa huko Bukoba

Bila kusahau Jimbo la Bukoba halina Askofu
Kwa sasa...zaidi ya Askofu Mwandamizi...new person anakaribia kuwa askofu
 
Hongera sana Baba Protace Rugambwa!Kristo Tumaini letu
IMG_6731.jpg
 
09 July 2023

LIVE : PAPA FRANCIS AKITAJA MAJINA YA MAKADINALI-WATEULE IKIWEMO LA MONSIGNORE PROTASE RUGAMBWA AMBAYE NI ASKOFU WA JIMBO LA TABORA TANZANIA



Shughuli rasmi ya kuwapa vyeo hivyo itafanyika mwezi September tarehe 30, 2023 Papa Francis ametoa taarifa hiyo katika St. Peter's Square leo

Makadinali wapya wateule wanatoka nchi za United States, Italy, Argentina, South Africa, Spain, Colombia, South Sudan, Hong Kong, Poland, Malaysia, Tanzania, and Portugal.

Tanzania imepata heshima pia huko nyuma kuwa na Kardinali Laurean Rugambwa ambaye alikuwa mwaafrika wa kwanza kuwa cardinal

PICHA TOKA MAKTABA :
Papa akiwa na askofu Protase Rugambwa,
View attachment 2682934

Nini kinaongezeka hapa?
Salary, duties au nini hasa?

Na kidini tuseme huyu anakua karibu zaidi na u papa kuliko ilivyokua kabla?
 
Tanzania na nafasi yake katika jumuiya ya Katoliki duniani

Vanuatu, Fiji
Monsigñore Novatus Rugambwa akikabidhi hati za utambulisho kama balozi wa Papa kwa rais wa Fiji Major-General (Ret'd) Jioji Konusi


Fijian President, His Excellency Major-General (Ret'd) Jioji Konusi Konrote received the Letter of Credential from His Excellency Archbishop Novatus Rugambwa, Non-Resident Ambassador Extraordinary and Plenipotentiary of the Holy See (based in Wellington New Zealand) to Fiji at Borron House on 14th November, 2019
 
14 April 2015
Luanda, Angola

Ikulu Luanda Angola balozi monsignore Novatus Rugambwa akielezea umuhimu wa maridhiano na amani nchini Angola siyo tu ya kisiasa (vyama) pia hadi ngazi ya familia na vijiji kushiriki katika mchakato wa amani

Núncio apostólico defende reconciliação nas famílias e aldeias.


PROCESSO DE RECONCILIAÇÃO NACIONAL NÃO SE RESTRINGE A QUESTÕES POLÍTICAS MAS ABRANGE AS FAMÍLIAS, AFIRMA DOM NOVATUS

  • segunda-feira, 13 abril 2015 20:16
Processo de reconciliação nacional não se restringe a questões políticas mas abrange as famílias, afirma Dom Novatus

O Representante do Santo Padre em Angola Dom Novatus Rogambua, despediu-se esta Segunda-feira do vice-presidente da república Manuel Domingos Vicente.
Depois do encontro com o vice-presidente, Dom Novatus, adiantou que o processo de reconciliação no país se estende as famílias e nas comunidades, e o mesmo exige verdade, paciência e a prática do bem, devendo ser um bem comum, onde todos acreditam estar prontos para retomar a estrada da paz, justiça e solidariedade sincera.
O embaixador da Santa Sé, acha que o processo de paz e de reconciliação são fenómenos que devem prosseguir, até em países que não tiveram guerra ou conflitos, apela, por isso, à contribuição de todos para que não se perca o dom da paz, mas que se fortaleça.

Dom Novatus Rugambwa informou que no encontro com Manuel Vicente foram abordadas as oportunidades de se fortalecer as relações entre Angola e a Santa Sé.
Na opinião do núncio apostólico, a Igreja Católica em Angola está sempre a crescer, em número e em qualidade, porque a evangelização continua, até para aqueles que já são cristãos.

“Vemos uma igreja alegre, fiel e orgulhosa de si, declarou o representante do Papa em Angola, que depois de 5 anos deixa o país com destino as Honduras
 
View attachment 2682944
Askofu mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa​


Mhashamu Protase Rugambwa sasa Mhadhama.

Baba Mtakatifu Fransisco amemteua Askofu mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa kuwa Kadinali. Mhashamu Protase Rugambwa ni mwandamizi wa kiti cha uaskofu Jimbo kuu Katoliki la Tabora.

Hongera sana Mhashamu Rugambwa.

Taarifa toka Vatican
Sister Angela Rwekiza


-
Pia soma >
- Je, Protase Rugambwa ndiye Kardinali ajaye Tanzania?


--
KARDINALI MTEULE RUGAMBWA NI NANI?

[emoji830]︎Askofu Mkuu Rugambwa alizaliwa tarehe 31 Mei 1960 huko Bunena-Bukoba nchini Tanzania, akapata Daraja Takatifu ya Upadri kutoka mikononi mwa Mtakatifu Yohane wa Pili alipotembelea Tanzania tarehe 2 Septemba 1990 na kuwa Padri wa Jimbo Katoliki Rulenge-Ngara.

Kuanzia mwaka 2002 hadi mwaka 2008 alifanya utume wake kwenye Baraza la Kipapa la Uinjilishaji wa watu mjini Vatican. Baba Mtakatifu Benedikto XVI, tarehe 18 Januari 2008 akamteuwa kuwa Askofu wa Jimbo Katoliki Kigoma, na tarehe 26 Juni 2012 akateuliwa kuwa Katibu Mwambata wa Baraza la Kipapa la Uinjilishaji wa Watu na Rais wa Mashirika ya Kipapa ya Kimisionari na wakati huo huo kumpandisha hadhi na kuwa ni Askofu mkuu.

Tarehe 9 Novemba 2017 Baba Mtakatifu Francisko akamteua kuwa Katibu mkuu wa Baraza la Kipapa la Uinjilishaji wa watu. Baada ya kulitumikia Baraza kwa vipindi viwili na muda wake ulipogota ukomo, kadiri ya Katiba mpya ya Kitume inayojulikana kama “Predicate evangelium” yaani “Hubirini Injili” Juu ya Sekretarieti kuu “Curia Romana” na Huduma Yake Kwa Kanisa na Kwa Ulimwengu”.

Tarehe 13 Aprili 2023, Baba Mtakatifu alimteua Askofu Mkuu Protase Rugambwa kuwa Askofu mkuu wenye haki ya kurithi Jimbo kuu la Tabora, Tanzania.
Nilikuwa namsikia Rugambwa ningali mdogo ndiye huyu au huyu mwingine

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom