Askofu Mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa ateuliwa kuwa Kardinali

Well deserved,congratulations our new cardinal Protase Rugambwa
 
Nimecheka sana eti Kardinali amfukuze kitima🤣🤣

Unadhani Kardinali ndio boss mkuu wa RC Tanzania😅!?
 
Hii mada nitaifuatilia kesho,naona kuna mambo mazuri sana hapa.

Kwa sasa ngoja nipumzishe fuvu kwanza.
 
Wenye kanisa lenu naomba muongozo hapa huyu Laurean Rugambwa na Protasi Rugambwa si ndugu hawa?.

Kama ni ndugu inaonekana familia ya mzee Rugambwa hasa watoto wa kiume wana kitu gani cha ndani hadi waaminike wao tu?.
Sio ndugu kiongozi, majina yamefanana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…