Askofu Mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa ateuliwa kuwa Kardinali

Ndugu zangu Wakatoliki nipeni basi Elimu..

Kuteuliwa kwa Mhashamu Protas Rugambwa kuwa Kardinali, maana yake Pengo kastaafu? Au anatakiwa kustaafu?

Nielimisheni tafadhali
 
Jibu ni hapana(BIG NO)Kwanza unatakiwa kufahamu kama taifa mkipata bahati ya kumpata mtu atakaeteuliwa na papa ni bahati ya mfano kwani ni moja kati ya nafasi nyeti sana na adimu mno!

Hivyo huwa hakuna replacement kwa kadinal anaestaaf au kufariki ila ikimpendeza papa mwenyewe anaweza kuteuwa au asiteuwe.

Tangu mwaka 1960 kama taifa na afrika kwa ujumla tuliingia kwenye historia ya kumpata kadinal wa kwanza mweusi tena kutoka Tz baada ya hapo mwaka tisini na akaja kuchaguliwa tena kadinali pengo baada ya rugambwa kufariki,bahati hiyo hatukupata tena mpk hii juzi ndio tumekuja kusika kuwa kadinali rugambwa ameteuliwa kuwa kadinali👏👏👏Sasa utagundua mchakato ulivyo

Nimalize kwa kusema kwamba inasemekana ulimwenguni kote tuna jumla ya ma kadinali 201 tu tanzania ikiwa na makadinali wawili kwa sasa huku kuna baadhi ya mataifa mengine yakiwa hayana historia ya kupata makadinali.
 
Jibu ni hapana(BIG NO)Kwanza unatakiwa kufahamu kama taifa mkipata bahati ya kumpata mtu atakaeteuliwa na papa ni bahati ya mfano kwani ni moja kati ya nafasi nyeti sana na adimu mno!

Hivyo huwa hakuna replacement kwa kadinal anaestaaf au kufariki ila ikimpendeza papa mwenyewe anaweza kuteuwa au asiteuwe.

Tangu mwaka 1960 kama taifa na afrika kwa ujumla tuliingia kwenye historia ya kumpata kadinal wa kwanza mweusi tena kutoka Tz baada ya hapo mwaka tisini na akaja kuchaguliwa tena kadinali pengo baada ya rugambwa kufariki,bahati hiyo hatukupata tena mpk hii juzi ndio tumekuja kusika kuwa kadinali rugambwa ameteuliwa kuwa kadinali[emoji122][emoji122][emoji122]Sasa utagundua mchakato ulivyo

Sasa si nchi za uarabuni aisee
 
Mwadhama Rugambwa hakufariki mwaka 1990 check your facts!

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Jibu ni hapana(BIG NO)Kwanza unatakiwa kufahamu kama taifa mkipata bahati ya kumpata mtu atakaeteuliwa na papa ni bahati ya mfano kwani ni moja kati ya nafasi nyeti sana na adimu mno!

Hivyo huwa hakuna replacement kwa kadinal anaestaaf au kufariki ila ikimpendeza papa mwenyewe anaweza kuteuwa au asiteuwe.

Tangu mwaka 1960 kama taifa na afrika kwa ujumla tuliingia kwenye historia ya kumpata kadinal wa kwanza mweusi tena kutoka Tz baada ya hapo mwaka tisini na akaja kuchaguliwa tena kadinali pengo baada ya rugambwa kufariki,bahati hiyo hatukupata tena mpk hii juzi ndio tumekuja kusika kuwa kadinali rugambwa ameteuliwa kuwa kadinali[emoji122][emoji122][emoji122]Sasa utagundua mchakato ulivyo

Nimalize kwa kusema kwamba inasemekana ulimwenguni kote tuna jumla ya ma kadinali 201 tu tanzania ikiwa na makadinali wawili kwa sasa huku kuna baadhi ya mataifa mengine yakiwa hayana historia ya kupata makadinali.
Na kadinali ni kiongozi wa namna gani na nini majukumu yake kitaifa na kimataifa...??
 
Nitaanzia mbali sana bro!. Cardinal ni "Prince of Rome"...na limezaliwa kutoka, katika historia ya watu amba walikua wakichaguliwa kumsaidia Askofu wa Roma katika ushauri na uongozi katika utendaji wake. Na baadaye kundi hili likagawanywa katika vitengo mbali mbali...na hasa baadaye yakazaliwa makundi manne yaliyosimamia makanisa makuu manne ya Roma- yaani Kanisa la Kipapa ya Mt. Yohane wa Lateran ( Cathedral of Rome), Mt. Petro, Mt. Paulo na Maria Mkuu ( Mary Major)...haya makundi yakawa kama Cardinal Points, points of reference, na muongozo katika kumsaidia Askofu wa Rome ambaye ndio Baba Mtakatifu. Hivyo ndivyo likazaliwa neno "Cardinal"...ila maana halisi, anaye chaguliwa anakua "Prince of Rome" na anapata hadhi ya Ukasisi wa Jimbo la Roma, na hapo ndipo anapatiwa moja ya Kanisa Roma ama Parokia. Hawa Cardinals wanakua katika hadhi tatu; Cardinal Bishop, Cardinal Priest na Cardinal Deacon...ambazo ni hatua cardinal anapitia kulingana na muda, na kuundwa/ kufanywa kwake ( to be created ).

Hivyo basi, kardinali ni Tuzo anayopewa Askofu, Padre au Shemasi. Askofu Mkuu ni Askofu wa Jimbo Kuu, mathalani Tz yapo nane.

Nchi inaweza kuwa na makardinali hata wanne. Ukardinali ni tuzo sio cheo ktk mfumo wa ngazi ktk vyeo vya kanisa.
Makardinali ni wajumbe wa baraza(conclave) inayomchagua Papa kiti kikiwa wazi. Wao pia ni wagombea kwa maana Papa anachaguliwa miongoni mwa Makardinali.
Hawagombei kama kwenye siasa bali hufungiwa kila mmoja kwenye chumba chake bila kuonana na mwingine na kupigiana kura. Mshindi lazima apate theluthi mbili ya kura zote.... Askofu Mkuu au Askofu mwingine hana nafasi hiyo....Nchi kama Italy wanao 28, USA wako 11, German 5 wakati Rwanda hawakuwahi kuwa na cardinal mpaka walipompata last year.

Pia tuwekane sawa kuwa Kadinali siyo mkuu wa Kanisa KATOLIKI NCHINI, Lahasha, bali Rais/Mwenyekiti wa TEC ambaye kwasasa ni Askofu Gervas Nyaisongwa wa Jimbo Kuu la Mbeya. Hivyo Fr Kitima ni mtu mkubwa sana kwasasa kikanisa kama Katibu wa TEC. Mara kadhaa idara ya habari nchini imekuwa ikifanya haya makosa kwa kudhani Kadinali ni mkubwa kuliko maaskofu wengine. Big NO.
 
Makadinali hawastaafu

Wanastaafu baadhi ya majukumu tu
Ni kweli, kwa uzee wake inawezekana kwa sheria za Kanisa hawezi kupiga kura kuchagua Pope. Pia majukumu mengi atakuwa ameondolewa.

Kwasababu Kaldinali Pengo amestaafu hawezi kuwa tena active kumshauri Pope na Kaldinali Rugambwa ndio new "sheriff" in town. Kaldinali Rugambwa awe makini tu maana sasa safari safari za Tabora hasa wanasiasa zitamiminika!
 
Na kadinali ni kiongozi wa namna gani na nini majukumu yake kitaifa na kimataifa...??
Kadinali ni cheo kinachofanya kazi huko Vatican na sio katika nchi aliyopo.
Ni mteule wa papa amabaye anakuwa na jukumu la kumshauri Papa katika mambo mbali mbali ya kiuongozi na mwenendo wa kanisa kwa ujumla.
Lakini pia kadinali ndio hupiga kura katika kumchagua papa.
Aidha ifahamike kwamba papa anaweza kumteua shemasi, padre au askofu kuwa kadinali kwasababu kadinali sio daraja.

Katika kanisa katoliki daraja la mwisho ni uaskofu hivyo hata papa ni Askofu kama wengine.
 
Aishi km kadinali pengo asiwe mlafi wa mali

Akijichanganya hapo wanasiasa watamuharibia

Kwasasa rugambwa atakuwa na kazi kubwa sana kwasababu nchi ipo njia panda
Ni kweli, kwa uzee wake inawezekana kwa sheria za Kanisa hawezi kupiga kura kuchagua Pope. Pia majukumu mengi atakuwa ameondolewa.

Kwasababu Kaldinali Pengo amestaafu hawezi kuwa tena active kumshauri Pope na Kaldinali Rugambwa ndio new "sheriff" in town. Kaldinali Rugambwa awe makini tu maana sasa safari safari za Tabora hasa wanasiasa zitamiminika!
 
Askofu Pengo mwili umeshachoka hayupo sawa anahitaji kupumzika.
 
Faida ya kuwa na kadibari nini? Je inatusaidia nini kama taifa? Be critical thinker. I don't see something relevant in it. Take note that the Republic of Tanzania is a secular state as per Art.19 of our constitution of 1977. Mambo ya dini yapo nje ya mifumo ya serikali. Kardinari ni tunda la dini. Mambo ya dini ya wakatoliki yanawahusu wakatoliki. It is non of our business.
 
Huyu Rugambwa ana uhusiano wowote na The late Cardinal Laurean Rugambwa?
 
Nitaanzia mbali sana bro!. Cardinal ni "Prince of Rome"...na limezaliwa kutoka, katika historia ya watu amba walikua wakichaguliwa kumsaidia Askofu wa Roma katika ushauri na uongozi katika utendaji wake. Na baadaye kundi hili likagawanywa katika vitengo mbali mbali...na hasa baadaye yakazaliwa makundi manne yaliyosimamia makanisa makuu manne ya Roma- yaani Kanisa la Kipapa ya Mt. Yohane wa Lateran ( Cathedral of Rome), Mt. Petro, Mt. Paulo na Maria Mkuu ( Mary Major)...haya makundi yakawa kama Cardinal Points, points of reference, na muongozo katika kumsaidia Askofu wa Rome ambaye ndio Baba Mtakatifu. Hivyo ndivyo likazaliwa neno "Cardinal"...ila maana halisi, anaye chaguliwa anakua "Prince of Rome" na anapata hadhi ya Ukasisi wa Jimbo la Roma, na hapo ndipo anapatiwa moja ya Kanisa Roma ama Parokia. Hawa Cardinals wanakua katika hadhi tatu; Cardinal Bishop, Cardinal Priest na Cardinal Deacon...ambazo ni hatua cardinal anapitia kulingana na muda, na kuundwa/ kufanywa kwake ( to be created ).

Hivyo basi, kardinali ni Tuzo anayopewa Askofu, Padre au Shemasi. Askofu Mkuu ni Askofu wa Jimbo Kuu, mathalani Tz yapo nane.

Nchi inaweza kuwa na makardinali hata wanne. Ukardinali ni tuzo sio cheo ktk mfumo wa ngazi ktk vyeo vya kanisa.
Makardinali ni wajumbe wa baraza(conclave) inayomchagua Papa kiti kikiwa wazi. Wao pia ni wagombea kwa maana Papa anachaguliwa miongoni mwa Makardinali.
Hawagombei kama kwenye siasa bali hufungiwa kila mmoja kwenye chumba chake bila kuonana na mwingine na kupigiana kura. Mshindi lazima apate theluthi mbili ya kura zote.... Askofu Mkuu au Askofu mwingine hana nafasi hiyo....Nchi kama Italy wanao 28, USA wako 11, German 5 wakati Rwanda hawakuwahi kuwa na cardinal mpaka walipompata last year.

Pia tuwekane sawa kuwa Kadinali siyo mkuu wa Kanisa KATOLIKI NCHINI, Lahasha, bali Rais/Mwenyekiti wa TEC ambaye kwasasa ni Askofu Gervas Nyaisongwa wa Jimbo Kuu la Mbeya. Hivyo Fr Kitima ni mtu mkubwa sana kwasasa kikanisa kama Katibu wa TEC. Mara kadhaa idara ya habari nchini imekuwa ikifanya haya makosa kwa kudhani Kadinali ni mkubwa kuliko maaskofu wengine. Big NO.
Shukran sana kwa ufafanuzi.
 
Kadinali ni cheo kinachofanya kazi huko Vatican na sio katika nchi aliyopo.
Ni mteule wa papa amabaye anakuwa na jukumu la kumshauri Papa katika mambo mbali mbali ya kiuongozi na mwenendo wa kanisa kwa ujumla.
Lakini pia kadinali ndio hupiga kura katika kumchagua papa.
Aidha ifahamike kwamba papa anaweza kumteua shemasi, padre au askofu kuwa kadinali kwasababu kadinali sio daraja.

Katika kanisa katoliki daraja la mwisho ni uaskofu hivyo hata papa ni Askofu kama wengine.
Shukran sana
 
Back
Top Bottom