PreGE2025 Askofu mkuu Ruwa'ichi: Tutende Haki Katika Uchaguzi. Tuachane na Uzalendo Uchwara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwa mawazo ya aina hii, hata huo "Utoto wa shule" haukustahili.
"Vyombo vya Dola" ni mali ya Samia au CCM?
Kwa sasa ni "Mali ya Rais Samia Suluhu Hassan" kwasababu yeye ndiye Amiri Jeshi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hulijui hilo dogo?
 
Hilo unalijuwa wewe ambaye ni mali ya huyo huyo. Usinihusishe mimi na ujinga wa kukubali kuwa mali ya mtu mwingine yeyote.
Vyombo vyote ni mali ya wananchi wa Tanzania, kama alivyo huyo unaye msujudia. kama huamini, subiri mwaka huu waTanzania watakavyo safisha nchi yao na uchafu wote unaofanyika chini ya huyo mmililki wako.
 
Ahahahahaha!!!
 
Tunapo azimisha Pasaka ya mwaka huu ni Pasaka ya pekee kidogo kwetu Watanzania hasa tukikumbuka kwamba huu ni mwaka ambao Watanzania watahusika katika masuala ya uchaguzi. Uchaguzi huo ambao utafanyika kwaajili ya kupata viongozi wa Taifa, wabunge na madiwani.

Kila Mkristo anapaswa kushiriki fursa hiyo akikumbuka yeye ni nani, lakini bila mazoea. Chaguzi zetu zimekuwa na historia yakuwa na uwalakini ninaomba mwaka huu chaguzi zetu ziwe bora, ziwe za haki, ziwe za ukweli na ziwe zinazozingatia maslai na manufaa ya raia wote. Tutende Haki Katika CHAGUZI – Tuachane na Uzalendo Uchwara.

Tumuombe Mungu aliyemfufua Bwana Yesu Kristo atuandalie maandalizi mazuri ya uchaguzi

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Chaaawaa chawa chawa chawa hadi madhabahuni. Kweli hili nalo fumbo la imani.
 
kwa niaba yangu mwenye kama mTanzania, mtumishi wa Mungu na mtumishi wa wananchi,

napenda kumuhakikishia muhashamu baba Askofu Mkuu Yudatadeus Rwaichi na wakatoliki wote kwa ujumla, bila kificho wala unafiki kama wa akina kalikawe na pisa kwamba,

Uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025, utakua huru, wa wazi na wa haki kuliko chaguzi zote zilizowahi kufanyika Tanzania tangu tupate uhuru.

Ni muhimu zaidi wakatoliki na waTanzania wote kwa ujumla kujitokeza kwa wingi katika Uchaguzi huo wa kihistoria 🐒
 
Haki huinua Taifa na dhuluma huinua uovu na chuki miongoni mwa jamii.

Tukumbuke kuna maisha baada ya kifo ambayo hayana mwisho tena na kila mmoja atavuna sawasawa alichopanda
Tuishi tu kwa imani...maisha mengine baada ya kifo anayajua aliyeandika biblia
 
  • Thanks
Reactions: K11
Maana yake hata yeye Askofu Ruwaichi ni Mzalendo Uchwara. Wezi wakivamia pale Jimboni kwake HAWEZI kuwaita Chadema au Wana jumuiya au waumini waje wamsaidie, bali ataita Vyombo vya Dola! Kwanini?
Vyombo vya dola ndiyo vipi hivyo? Na je vyombo vya dola na uzalendo wa askofu Ruwaichi vina uhusiano gani
 
Unajua maana ya Amiri Jeshi Mkuu? Kama hujui sema tu tukusaidie mwaya! Ahahahahaha!!
Sina uhakika kama hata darasa la tatu ulibahatika kufika.

Yaani hujui JW ni jeshi la wananchi wa Tanzania na kazi yake kuu ni kulinda mipaka ya nchi na wananchi wake?

Kwamba hujui jeshi la polisi ni mali ya wananchi vile vile kwasababu jukumu lake kuu ni kulinda usalama wa raia na mali zao na sio usalama na mali za huyo unayesema jeshi ni mali yake?

Majeshi yote yameanzishwa kwa niaba ya wananchi na sio kwa niaba ya viongozi.

Ungebahatika kufika japo darasa la tatu pengine ungesoma hata somo la uraia tu ungeyajua mambo madogo kama haya.
 
Uliyosema yote ni sawa isipokuwa elimu yangu.
Swali langu Sasa, "Je, unajua maana ya Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?"
 
Kiongozi wa dini mwenye ushawishi kwa waamini wake kwa maelfu unamuita mhuni?

Mtu ambaye akisema jambo anasikilizwa na waamini wake na jambo hilo litatekelezwa bila kipingamizi.

Sema kwakuwa tu Jf imetoa uhuru hadi 'watoto wa shule' kujiunga ndiyo maana mnatema mashudu kama haya.
Askofu Ruwaichi HAWEZI kuwa Mzalendo kuliko Vyombo vya Dola. Huyo ni mhuni tu!
 
Kiongozi wa dini mwenye ushawishi kwa waamini wake kwa maelfu unamuita mhuni?

Mtu ambaye akisema jambo anasikilizwa na waamini wake na jambo hilo litatekelezwa bila kipingamizi.

Sema kwakuwa tu Jf imetoa uhuru hadi 'watoto wa shule' kujiunga ndiyo maana mnatema mashudu kama haya.
Nimeisha kula naye chakula zaidi ya mara moja. Ni mhuni tu!
 
Uliyosema yote ni sawa isipokuwa elimu yangu.
Swali langu Sasa, "Je, unajua maana ya Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?"
Kuwa Amiri Jeshi mkuu maana yake ni kwa niaba ya mabosi wake ambao ni wananchi mkuu.

Chochote anachofanya Rais ama kiongozi yeyote anafanya hayo kwa niaba tu ya wananchi kwakuwa mamlaka ya wananchi kwa mujibu wa katiba ndiyo mamlaka kuu kuliko mtu yeyote.
 
Back
Top Bottom