PreGE2025 Askofu mkuu Ruwa'ichi: Tutende Haki Katika Uchaguzi. Tuachane na Uzalendo Uchwara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Japo mimi ni muislam, itoshe kusema kanisa katoliki ni the best kwenye kusimamia ukweli na haki
Binafsi naamini lengo la kila mwanadanu nikutenda haki na kufanya yaliyo mema na yanayo mpendeza Mungu bila kujali tofauti za Kiimani ila kwa Tanzania kakikundi ka wachache kana taka Watanzania wote watende maovu na Machukizo kwa Mungu.
 
Uliyosema yote ni sawa isipokuwa elimu yangu.
Swali langu Sasa, "Je, unajua maana ya Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?"
Kwanza hakuna cheo au mamlaka inayoitwa hivyo. Bali kuna 'Amiri Jeshi mkuu wa Majeshi ya Ulinzi'. Elewa neno 'Ulinzi' au 'Defence' kwa lugha ya kimombo.

Amiri Jeshi Mkuu au Supreme Commander au Commander In Chief ni mamlaka ya juu kabisa ndani ya Majeshi ya Ulinzi(Defence forces/armed forces) ambaye ana mamlaka ya kuliamuru Jeshi katika utendaji wake hasa kivita. Mamlaka ya amiri jeshi yako ndani ya Jeshi(Military) tu. Na katiba ikibadilishwa isemwe kwamba mamlaka hayo yaondolewe kwa rais basi mamlaka hayo ya amiri jeshi yanarudi Jeshini na mkuu wa Majeshi ndiye atakuwa Amiri Jeshi Mkuu.

Amiri Jeshi anahusika na Jeshi tu. Hivyo vyombo vingine kama magereza, polisi uhamiaji ni vyombo vya dola yaani serikali ambavyo viko chini ya rais wa jamhuri.

Rais ni mamlaka ya juu ya utawala wa kiraia. Amiri Jeshi ni mamlaka ya juu ndani ya Jeshi. Wanajeshi wote boss wao namba moja ni Amiri Jeshi Mkuu. Magereza, uhamiaji, polisi nk boss wao namba moja ni rais hivyo msipende kulinganisha Jeshi na vitu vidogo vidogo ambavyo si size yake.

Rais kama kiongozi wa serikali ana msaidizi ambaye ni makamu wa rais lakini mamlaka ya Amiri Jeshi hayana msaidizi, yuko mmoja tu. Jeshini anaanza Amiri Jeshi, kisha anafuata Mkuu wa Majeshi(Military Chief).
 
Kwanza hakuna cheo au mamlaka inayoitwa hivyo. Bali kuna 'Amiri Jeshi mkuu wa Majeshi ya Ulinzi'. Elewa neno 'Ulinzi' au 'Defence' kwa lugha ya kimombo.

Amiri Jeshi Mkuu au Supreme Commander au Commander In Chief ni mamlaka ya juu kabisa ndani ya Majeshi ya Ulinzi(Defence forces/armed forces) ambaye ana mamlaka ya kuliamuru Jeshi katika utendaji wake hasa kivita. Mamlaka ya amiri jeshi yako ndani ya Jeshi(Military) tu. Na katiba ikibadilishwa isemwe kwamba mamlaka hayo yaondolewe kwa rais basi mamlaka hayo ya amiri jeshi yanarudi Jeshini na mkuu wa Majeshi ndiye atakuwa Amiri Jeshi Mkuu.

Amiri Jeshi anahusika na Jeshi tu. Hivyo vyombo vingine kama magereza, polisi uhamiaji ni vyombo vya dola yaani serikali ambavyo viko chini ya rais wa jamhuri.

Rais ni mamlaka ya juu ya utawala wa kiraia. Amiri Jeshi ni mamlaka ya juu ndani ya Jeshi. Wanajeshi wote boss wao namba moja ni Amiri Jeshi Mkuu na magereza, uhamiaji, polisi nk wote boss wao namba moja ni rais hivyo msipende kulinganisha Jeshi na vitu vidogo vidogo ambavyo si size yake.

Umeeleza vizuri asante
 
Sasa unaposema chombo cha dola unamaanisha nini? Maana kama majeshi ndiyo kazi zao na zlianzishwa kwa ajili hiyo. Au unafikiri wale wamekuwa wazalendo sana kuliko wananchi wengine? Ile ni kazi kama kazi zingine wanalipwa kwa ajili ya kulinda nchi, wananchi pamoja na mali zao na ndiyo maana wanapata mafunzo maalumu.
Kwa maelezo yako, basi umenielewa.
 
Maana yake hata yeye Askofu Ruwaichi ni Mzalendo Uchwara. Wezi wakivamia pale Jimboni kwake HAWEZI kuwaita Chadema au Wana jumuiya au waumini waje wamsaidie, bali ataita Vyombo vya Dola! Kwanini?
Ulienda shule bahati mbaya ulibaki na ujinga wako
 
Nizunguke tena?

Mbona unabisha vitu ambavyo vipo wazi? Kwamba uliwahi kusikia jeshi la Rais?

Narudia chochote anachokifanya Rais kwa mujibu wa katiba anafanya on behalf of the citizens na sio vinginevyo.

Katiba ya nchi ipo wazi kwamba mamlaka kuu ya nchi itatoka kwa wananchi ila itafanywa na Rais kwa niaba ya wananchi.

Sasa ulitaka wote tuwe Amiri jeshi?

Ndiyo maana hata bungeni unamchagua Mbunge afanye kazi kwa niaba yako ama diwani afanye kazi kwa niaba ya wananchi ndani ya mipaka ya kata husika.
Huna point wewe Wala unachojia.
 
Kwanza hakuna cheo au mamlaka inayoitwa hivyo. Bali kuna 'Amiri Jeshi mkuu wa Majeshi ya Ulinzi'. Elewa neno 'Ulinzi' au 'Defence' kwa lugha ya kimombo.

Amiri Jeshi Mkuu au Supreme Commander au Commander In Chief ni mamlaka ya juu kabisa ndani ya Majeshi ya Ulinzi(Defence forces/armed forces) ambaye ana mamlaka ya kuliamuru Jeshi katika utendaji wake hasa kivita. Mamlaka ya amiri jeshi yako ndani ya Jeshi(Military) tu. Na katiba ikibadilishwa isemwe kwamba mamlaka hayo yaondolewe kwa rais basi mamlaka hayo ya amiri jeshi yanarudi Jeshini na mkuu wa Majeshi ndiye atakuwa Amiri Jeshi Mkuu.

Amiri Jeshi anahusika na Jeshi tu. Hivyo vyombo vingine kama magereza, polisi uhamiaji ni vyombo vya dola yaani serikali ambavyo viko chini ya rais wa jamhuri.

Rais ni mamlaka ya juu ya utawala wa kiraia. Amiri Jeshi ni mamlaka ya juu ndani ya Jeshi. Wanajeshi wote boss wao namba moja ni Amiri Jeshi Mkuu na magereza, uhamiaji, polisi nk wote boss wao namba moja ni rais hivyo msipende kulinganisha Jeshi na vitu vidogo vidogo ambavyo si size yake.

Rais kama kiongozi wa serikali ana msaidizi ambaye ni makamu wa rais lakini mamlaka ya Amiri Jeshi hayana msaidizi, yuko mmoja tu. Jeshini anaanza Amiri Jeshi, kisha anafuata Mkuu wa Majeshi(Military Chief).
Ahahahahaha!!
 
Kwa sasa ni "Mali ya Rais Samia Suluhu Hassan" kwasababu yeye ndiye Amiri Jeshi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hulijui hilo dogo?
Acha upuuzi wako wewe dogo
Cheo ni dhamana .
Unapokuwa bosi kwenye taasisi yeyote ya umma hauwezi ifanya ile taasisi kuwa Mali yako .
Kwenye ishu ya ardhi kwa mujibu wa sheria za ardhi Tanzania, ardhi yote katika Tanzania ni ardhi ya umma ikisimamiwa na Rais.
Kwa hiyo unataka kusema kwamba ardhi yote ni Mali ya Samia.
Kwamba samia akitaka anaweza kuja kuninyang'anya ardhi niliyomoolikishiwa akaifanya iwe yake?
Cheo ni dhamana tu kwa muda flani haikufanyi weee umiliki taasisi.
unayoisimamia.
Mali yako hiyo ni yako hadi utakapokufa au utakapoamua kuiuza.
Mali yako unaweza kuiuza , kwa hiyo samia anaweza kuamua kuyauza majeshi yetu kwa sababu ni Mali yake?
 
Sina namna ya kukuelewesha dogo!
Kwa sababu hakuna unachoweza kuelekeza kwani wewe ni kilaza wa mama.
Umechangia utumbo sana dogo Acha upumbavu na kujitoa ufahamu.
Eti majeshi ni Mali ya samia.
Cheo ni dhamana tu kwa muda flani na hiyo dhamana haikufanyi wewe umiliki taasisi uliyopewa cheo uisimamie .
Ndio maana taasisi za umma zinaongozwa kwa sheria .
Na nchi zinaongozwa kwa mujibu wa katiba
 
Dogo wewe hujui chochote ndio maana nimeamua kukaa kimya.
 
Sawa kilaza wa mama naona umeamua kuomba poo.
Ila wewe bwana mdogo acha upotoshaji
Sio nimeomba poo. Wewe HUJUI CHOCHOTE KUHUSU GOVERNMENT, PRESIDENCY AND COMMANDER IN CHIEF. Sasa kwanini nipoteze muda wangu kubishana na wewe?
Na haya ni majibu yangu ya mwisho kwako.
 
Back
Top Bottom