Acha kuzunguka dogo au niache kujadili na wewe.Kuwa Amiri Jeshi mkuu maana yake ni kwa niaba ya mabosi wake ambao ni wananchi mkuu.
Chochote anachofanya Rais ama kiongozi yeyote anafanya hayo kwa niaba tu ya wananchi kwakuwa mamlaka ya wananchi kwa mujibu wa katiba ndiyo mamlaka kuu kuliko mtu yeyote.
Yule amesoma wapi akawa Dr😂Mufti Dr.Zebeir yeye anasemaje?
Sasa unaposema chombo cha dola unamaanisha nini? Maana kama majeshi ndiyo kazi zao na zlianzishwa kwa ajili hiyo. Au unafikiri wale wamekuwa wazalendo sana kuliko wananchi wengine? Ile ni kazi kama kazi zingine wanalipwa kwa ajili ya kulinda nchi, wananchi pamoja na mali zao na ndiyo maana wanapata mafunzo maalumu.Askofu Ruwaichi HAWEZI kuwa Mzalendo kuliko Vyombo vya Dola. Huyo ni mhuni tu!
We jamaa😀😀Na HAKUNA mtu mwenye akili "sharp" kama Mtoto wa Shule! Ahahahahaha!!
Wa akina Tlaattlahaah,Chieembe ,Mushaamba &co.Uzalendo uchwara 😂😂
Arguments zingine ni za Mtoto wa Shule kabisa.Maana yake hata yeye Askofu Ruwaichi ni Mzalendo Uchwara. Wezi wakivamia pale Jimboni kwake HAWEZI kuwaita Chadema au Wana jumuiya au waumini waje wamsaidie, bali ataita Vyombo vya Dola! Kwanini?
Hizi ni chawa za chama twawala zina watoa wanaodai mabadiliko kwenye reli etii maji ya shingo yamewafiikaaaArguments zingine ni za Mtoto wa Shule kabisa.
Aisee pasaka hii imekua ya historia tiyari , watumishi wa Mungu kupitia pasaka hii ,wamelitendea haki sana Taifa la Mungu.Tunapo azimisha Pasaka ya mwaka huu ni Pasaka ya pekee kidogo kwetu Watanzania hasa tukikumbuka kwamba huu ni mwaka ambao Watanzania watahusika katika masuala ya uchaguzi. Uchaguzi huo ambao utafanyika kwaajili ya kupata viongozi wa Taifa, wabunge na madiwani.
Kila Mkristo anapaswa kushiriki fursa hiyo akikumbuka yeye ni nani, lakini bila mazoea. Chaguzi zetu zimekuwa na historia yakuwa na uwalakini ninaomba mwaka huu chaguzi zetu ziwe bora, ziwe za haki, ziwe za ukweli na ziwe zinazozingatia maslai na manufaa ya raia wote. Tutende Haki Katika CHAGUZI – Tuachane na Uzalendo Uchwara.
Tumuombe Mungu aliyemfufua Bwana Yesu Kristo atuandalie maandalizi mazuri ya uchaguzi
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Uzalendo uchwara kuahirisha kufikiri kizalendo a.k.a kujizima dataUzalendo uchwara 😂😂
Kujizima data na kuahirisha kufikiri Kizalendo kwa manufaa ya kushibisha tumbo kwa siku moja au mbili ama kwa ahadi ya vyeo ama rushwa mbalimbali ikiwemo upendeleo ama sifa zisizo na maana.Uzalendo uchwara kuahirisha kufikiri kizalendo a.k.a kujizima data
Nizunguke tena?Acha kuzunguka dogo au niache kujadili na wewe.
Kuiumiza jamii,Kujizima data na kuahirisha kufikiri Kizalendo kwa manufaa ya kushibisha tumbo kwa siku moja au mbili ama kwa ahadi ya vyeo ama rushwa mbalimbali ikiwemo upendeleo ama sifa zisizo na maana.
NdioHaya mkuu ndiyo uhuru wenyewe wa maoni huu.
You are right, huwa halichagui anayeonewa.Japo mimi ni muislam, itoshe kusema kanisa katoliki ni the best kwenye kusimamia ukweli na haki