evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,989
- 9,948
Kwenda huko wewe ninayajua hayo mambo kwa kufanya kazi Serikalini pamoja na kusoma darasani.Sio nimeomba poo. Wewe HUJUI CHOCHOTE KUHUSU GOVERNMENT, PRESIDENCY AND COMMANDER IN CHIEF. Sasa kwanini nipoteze muda wangu kubishana na wewe?
Na haya ni majibu yangu ya mwisho kwako.
Ni mapumbavu na majuha kama wewe ndio hamuelewi.
Kamwe haiwezekani ukabinafsisha Serikali kwa mtu simple because yeye amebahatika kushika madaraka ya juu ya Serikali .
Serikali ama uongozi kamwe hauwezi kuwa Mali ya mtu mmoja kwa sababu eti huyo mtu ni Rais .
Wewe jamaa utakuwa mpumbavu na mjinga wa mwisho usiyejielewa.
Pole sana