Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Kwa sasa ni "Mali ya Rais Samia Suluhu Hassan" kwasababu yeye ndiye Amiri Jeshi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hulijui hilo dogo?Kwa mawazo ya aina hii, hata huo "Utoto wa shule" haukustahili.
"Vyombo vya Dola" ni mali ya Samia au CCM?
Umekomenti kama mtoto wa shule kweliMaana yake hata yeye Askofu Ruwaichi ni Mzalendo Uchwara. Wezi wakivamia pale Jimboni kwake HAWEZI kuwaita Chadema au Wana jumuiya au waumini waje wamsaidie, bali ataita Vyombo vya Dola! Kwanini?
Jeshi inakuwaje Mali yake ??Kwa sasa ni "Mali ya Rais Samia Suluhu Hassan" kwasababu yeye ndiye Amiri Jeshi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hulij
Na HAKUNA mtu mwenye akili "sharp" kama Mtoto wa Shule! Ahahahahaha!!Umekomenti kama mtoto wa shule kweli
Unajua maana ya Amiri Jeshi Mkuu? Kama hujui sema tu tukusaidie mwaya! Ahahahahaha!!Jeshi inakuwaje Mali yake ??
Hilo unalijuwa wewe ambaye ni mali ya huyo huyo. Usinihusishe mimi na ujinga wa kukubali kuwa mali ya mtu mwingine yeyote.Kwa sasa ni "Mali ya Rais Samia Suluhu Hassan" kwasababu yeye ndiye Amiri Jeshi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hulijui hilo dogo?
Mtoto wa Darasa la tatu C. AhahahahNa HAKUNA mtu mwenye akili "sharp" kama Mtoto wa Shule! Ahahahahaha!!
Ahahahahaha!!!Hilo unalijuwa wewe ambaye ni mali ya huyo huyo. Usinihusishe mimi na ujinga wa kukubali kuwa mali ya mtu mwingine yeyote.
Vyombo vyote ni mali ya wananchi wa Tanzania, kama alivyo huyo unaye msujudia. kama huamini, subiri mwaka huu waTanzania watakavyo safisha nchi yao na uchafu wote unaofanyika chini ya huyo mmililki wako.
Eeeh! Ndio Mimi. Nachangia humu hadi na wewe Professor unaona nina pwenti ndio maana unakuja kuchangia hoja zangu!Mtoto wa Darasa la tatu C. Ahahahah
Chaaawaa chawa chawa chawa hadi madhabahuni. Kweli hili nalo fumbo la imani.Tunapo azimisha Pasaka ya mwaka huu ni Pasaka ya pekee kidogo kwetu Watanzania hasa tukikumbuka kwamba huu ni mwaka ambao Watanzania watahusika katika masuala ya uchaguzi. Uchaguzi huo ambao utafanyika kwaajili ya kupata viongozi wa Taifa, wabunge na madiwani.
Kila Mkristo anapaswa kushiriki fursa hiyo akikumbuka yeye ni nani, lakini bila mazoea. Chaguzi zetu zimekuwa na historia yakuwa na uwalakini ninaomba mwaka huu chaguzi zetu ziwe bora, ziwe za haki, ziwe za ukweli na ziwe zinazozingatia maslai na manufaa ya raia wote. Tutende Haki Katika CHAGUZI – Tuachane na Uzalendo Uchwara.
Tumuombe Mungu aliyemfufua Bwana Yesu Kristo atuandalie maandalizi mazuri ya uchaguzi
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Tunapo azimisha Pasaka ya mwaka huu ni Pasaka ya pekee kidogo kwetu Watanzania hasa tukikumbuka kwamba huu ni mwaka ambao Watanzania watahusika katika masuala ya uchaguzi. Uchaguzi huo ambao utafanyika kwaajili ya kupata viongozi wa Taifa, wabunge na madiwani.
Kila Mkristo anapaswa kushiriki fursa hiyo akikumbuka yeye ni nani, lakini bila mazoea. Chaguzi zetu zimekuwa na historia yakuwa na uwalakini ninaomba mwaka huu chaguzi zetu ziwe bora, ziwe za haki, ziwe za ukweli na ziwe zinazozingatia maslai na manufaa ya raia wote. Tutende Haki Katika CHAGUZI – Tuachane na Uzalendo Uchwara.
Tumuombe Mungu aliyemfufua Bwana Yesu Kristo atuandalie maandalizi mazuri ya uchaguzi
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
kwa niaba yangu mwenye kama mTanzania, mtumishi wa Mungu na mtumishi wa wananchi,Tunapo azimisha Pasaka ya mwaka huu ni Pasaka ya pekee kidogo kwetu Watanzania hasa tukikumbuka kwamba huu ni mwaka ambao Watanzania watahusika katika masuala ya uchaguzi. Uchaguzi huo ambao utafanyika kwaajili ya kupata viongozi wa Taifa, wabunge na madiwani.
Kila Mkristo anapaswa kushiriki fursa hiyo akikumbuka yeye ni nani, lakini bila mazoea. Chaguzi zetu zimekuwa na historia yakuwa na uwalakini ninaomba mwaka huu chaguzi zetu ziwe bora, ziwe za haki, ziwe za ukweli na ziwe zinazozingatia maslai na manufaa ya raia wote. Tutende Haki Katika CHAGUZI – Tuachane na Uzalendo Uchwara.
Tumuombe Mungu aliyemfufua Bwana Yesu Kristo atuandalie maandalizi mazuri ya uchaguzi
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Tuishi tu kwa imani...maisha mengine baada ya kifo anayajua aliyeandika bibliaHaki huinua Taifa na dhuluma huinua uovu na chuki miongoni mwa jamii.
Tukumbuke kuna maisha baada ya kifo ambayo hayana mwisho tena na kila mmoja atavuna sawasawa alichopanda
Vyombo vya dola ndiyo vipi hivyo? Na je vyombo vya dola na uzalendo wa askofu Ruwaichi vina uhusiano ganiMaana yake hata yeye Askofu Ruwaichi ni Mzalendo Uchwara. Wezi wakivamia pale Jimboni kwake HAWEZI kuwaita Chadema au Wana jumuiya au waumini waje wamsaidie, bali ataita Vyombo vya Dola! Kwanini?
Askofu Ruwaichi HAWEZI kuwa Mzalendo kuliko Vyombo vya Dola. Huyo ni mhuni tu!Vyombo vya dola ndiyo vipi hivyo? Na je vyombo vya dola na uzalendo wa askofu Ruwaichi vina uhusiano gani
Sina uhakika kama hata darasa la tatu ulibahatika kufika.Unajua maana ya Amiri Jeshi Mkuu? Kama hujui sema tu tukusaidie mwaya! Ahahahahaha!!
Uliyosema yote ni sawa isipokuwa elimu yangu.Sina uhakika kama hata darasa la tatu ulibahatika kufika.
Yaani hujui JW ni jeshi la wananchi wa Tanzania na kazi yake kuu ni kulinda mipaka ya nchi na wananchi wake?
Kwamba hujui jeshi la polisi ni mali ya wananchi vile vile kwasababu jukumu lake kuu ni kulinda usalama wa raia na mali zao na sio usalama na mali za huyo unayesema jeshi ni mali yake?
Majeshi yote yameanzishwa kwa niaba ya wananchi na sio kwa niaba ya viongozi.
Ungebahatika kufika japo darasa la tatu pengine ungesoma hata somo la uraia tu ungeyajua mambo madogo kama haya.
Askofu Ruwaichi HAWEZI kuwa Mzalendo kuliko Vyombo vya Dola. Huyo ni mhuni tu!
Nimeisha kula naye chakula zaidi ya mara moja. Ni mhuni tu!Kiongozi wa dini mwenye ushawishi kwa waamini wake kwa maelfu unamuita mhuni?
Mtu ambaye akisema jambo anasikilizwa na waamini wake na jambo hilo litatekelezwa bila kipingamizi.
Sema kwakuwa tu Jf imetoa uhuru hadi 'watoto wa shule' kujiunga ndiyo maana mnatema mashudu kama haya.
Kuwa Amiri Jeshi mkuu maana yake ni kwa niaba ya mabosi wake ambao ni wananchi mkuu.Uliyosema yote ni sawa isipokuwa elimu yangu.
Swali langu Sasa, "Je, unajua maana ya Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?"