PreGE2025 Askofu mkuu Ruwa'ichi: Tutende Haki Katika Uchaguzi. Tuachane na Uzalendo Uchwara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Acha kuzunguka dogo au niache kujadili na wewe.
 
Hawa kila mwaka wanaongea hivi hivi na hakuna kinachobadilika kama report ya CAG Tu..
 
Askofu Ruwaichi HAWEZI kuwa Mzalendo kuliko Vyombo vya Dola. Huyo ni mhuni tu!
Sasa unaposema chombo cha dola unamaanisha nini? Maana kama majeshi ndiyo kazi zao na zlianzishwa kwa ajili hiyo. Au unafikiri wale wamekuwa wazalendo sana kuliko wananchi wengine? Ile ni kazi kama kazi zingine wanalipwa kwa ajili ya kulinda nchi, wananchi pamoja na mali zao na ndiyo maana wanapata mafunzo maalumu.
 
Maana yake hata yeye Askofu Ruwaichi ni Mzalendo Uchwara. Wezi wakivamia pale Jimboni kwake HAWEZI kuwaita Chadema au Wana jumuiya au waumini waje wamsaidie, bali ataita Vyombo vya Dola! Kwanini?
Arguments zingine ni za Mtoto wa Shule kabisa.
 
Aisee pasaka hii imekua ya historia tiyari , watumishi wa Mungu kupitia pasaka hii ,wamelitendea haki sana Taifa la Mungu.

Serikali ya ccm inapigwa kama ngoma kila kona ya nchi
 
Uzalendo uchwara kuahirisha kufikiri kizalendo a.k.a kujizima data
Kujizima data na kuahirisha kufikiri Kizalendo kwa manufaa ya kushibisha tumbo kwa siku moja au mbili ama kwa ahadi ya vyeo ama rushwa mbalimbali ikiwemo upendeleo ama sifa zisizo na maana.
 
Acha kuzunguka dogo au niache kujadili na wewe.
Nizunguke tena?

Mbona unabisha vitu ambavyo vipo wazi? Kwamba uliwahi kusikia jeshi la Rais?

Narudia chochote anachokifanya Rais kwa mujibu wa katiba anafanya on behalf of the citizens na sio vinginevyo.

Katiba ya nchi ipo wazi kwamba mamlaka kuu ya nchi itatoka kwa wananchi ila itafanywa na Rais kwa niaba ya wananchi.

Sasa ulitaka wote tuwe Amiri jeshi?

Ndiyo maana hata bungeni unamchagua Mbunge afanye kazi kwa niaba yako ama diwani afanye kazi kwa niaba ya wananchi ndani ya mipaka ya kata husika.
 
Viongozi wa Afrika wanqshindwa kuwa wafanyakazi wa wapiga kura badala yake wanakuwa maboss. Kodi zawananchi zinapofanya kazi wanasema Raisi kafanya. Haya mambo sio Mambo ni uhaini. Ndio maana Tamph anasema Africa inabidi itawaliwe upya.
 
Kujizima data na kuahirisha kufikiri Kizalendo kwa manufaa ya kushibisha tumbo kwa siku moja au mbili ama kwa ahadi ya vyeo ama rushwa mbalimbali ikiwemo upendeleo ama sifa zisizo na maana.
Kuiumiza jamii,

Nimekuwa nawafuatilia kwa ukaribu hawa wanasiasa na viongozi wa kitaifa na kujiuliza kwanini huwa wanaongea uongo kwa jambo ninalo lijua?

Nika amua kuamsha ubongo wangu kwaundani hasa kwaajili ya hawa wasomi wetu ndipo nilipo gundua huwa wanaahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza na kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao (unafiki) tabia hii nimegundua kwamba ni unyumbu wa kisiasa

Human herding in politics is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of flattering or working towards group objectives and hypocrite


Silence surrenders public responsibilities

Kukaa kimya siyo amani ball ni kusalimu amri majukumu ya kijamii, (kitaifa)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…