evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,989
- 9,948
Kwenda huko wewe ninayajua hayo mambo kwa kufanya kazi Serikalini pamoja na kusoma darasani.Sio nimeomba poo. Wewe HUJUI CHOCHOTE KUHUSU GOVERNMENT, PRESIDENCY AND COMMANDER IN CHIEF. Sasa kwanini nipoteze muda wangu kubishana na wewe?
Na haya ni majibu yangu ya mwisho kwako.
Tunapo azimisha Pasaka ya mwaka huu ni Pasaka ya pekee kidogo kwetu Watanzania hasa tukikumbuka kwamba huu ni mwaka ambao Watanzania watahusika katika masuala ya uchaguzi. Uchaguzi huo ambao utafanyika kwaajili ya kupata viongozi wa Taifa, wabunge na madiwani.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Watu wa generation yangu tulipokuwa watoto tulikuwa hatuongei wakati watu wazima wanajadili jambo lisilokuwa la kitoto!Maana yake hata yeye Askofu Ruwaichi ni Mzalendo Uchwara. Wezi wakivamia pale Jimboni kwake HAWEZI kuwaita Chadema au Wana jumuiya au waumini waje wamsaidie, bali ataita Vyombo vya Dola! Kwanini?
Makombora kila kona....hapo Lumumba viti vimejaa siafu na bupupuUzalendo uchwara 😂😂
🤣🤣Wapo wanaodhani uzalendo ni kuvaa tai yenye bendera ya taifa
Umezaliwa mwaka gani?Watu wa generation yangu tulipokuwa watoto tulikuwa hatuongei wakati watu wazima wanajadili jambo lisilokuwa la kitoto!
hapa kaitwa Lucas mwashambaUzalendo uchwara 😂😂
Lema anasemaje mkuu?Kumekucha tena!
Huyo mnafiki akae kimya anajua ht maana ya haki? Uzalendo uchwara ni upi. Huyo mkibosho mwenyewe ni mbaguzi, mkabila. Kuna uzalendo uchwara? Hamuwezi kuhatarisha umoja na amani ya nchi yetu nyie nyang'auTunapo azimisha Pasaka ya mwaka huu ni Pasaka ya pekee kidogo kwetu Watanzania hasa tukikumbuka kwamba huu ni mwaka ambao Watanzania watahusika katika masuala ya uchaguzi. Uchaguzi huo ambao utafanyika kwaajili ya kupata viongozi wa Taifa, wabunge na madiwani.
Kila Mkristo anapaswa kushiriki fursa hiyo akikumbuka yeye ni nani, lakini bila mazoea. Chaguzi zetu zimekuwa na historia yakuwa na uwalakini ninaomba mwaka huu chaguzi zetu ziwe bora, ziwe za haki, ziwe za ukweli na ziwe zinazozingatia maslai na manufaa ya raia wote. Tutende Haki Katika CHAGUZI – Tuachane na Uzalendo Uchwara.
Tumuombe Mungu aliyemfufua Bwana Yesu Kristo atuandalie maandalizi mazuri ya uchaguzi
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ulitaka mawazo yake yafanane ni hicho kinyesi chako kichwani?Kwa mawazo ya aina hii, hata huo "Utoto wa shule" haukustahili.
"Vyombo vya Dola" ni mali ya Samia au CCM?
Hili ndio tatizo kubwa linalotuangamiza.Uzalendo sio kushika bunduki ni kuisadia nchi yako kupiga hatua.Ukiua wasio na hatia umeangamiza taifa,ukijenga hospitality,shule na kuwalea watoto waje kuwa watu bora ni uzalendo.Kifupi uzalendo ni kupigania nchi yako kijamii,kiuchumi na kisiasaAskofu Ruwaichi HAWEZI kuwa Mzalendo kuliko Vyombo vya Dola. Huyo ni mhuni tu!
Je akina mama wapo tayari kuvaa vazi la Veronica aliyempangusa Yesu Kristu machozi?Tunapo azimisha Pasaka ya mwaka huu ni Pasaka ya pekee kidogo kwetu Watanzania hasa tukikumbuka kwamba huu ni mwaka ambao Watanzania watahusika katika masuala ya uchaguzi. Uchaguzi huo ambao utafanyika kwaajili ya kupata viongozi wa Taifa, wabunge na madiwani.
Kila Mkristo anapaswa kushiriki fursa hiyo akikumbuka yeye ni nani, lakini bila mazoea. Chaguzi zetu zimekuwa na historia yakuwa na uwalakini ninaomba mwaka huu chaguzi zetu ziwe bora, ziwe za haki, ziwe za ukweli na ziwe zinazozingatia maslai na manufaa ya raia wote. Tutende Haki Katika CHAGUZI – Tuachane na Uzalendo Uchwara.
Tumuombe Mungu aliyemfufua Bwana Yesu Kristo atuandalie maandalizi mazuri ya uchaguzi
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa kifupi uzalendo ni kila mtu kutimiza majukumu yake.Hili ndio tatizo kubwa linalotuangamiza.Uzalendo sio kushika bunduki ni kuisadia nchi yako kupiga hatua.Ukiua wasio na hatia umeangamiza taifa,ukijenga hospitality,shule na kuwalea watoto waje kuwa watu bora ni uzalendo.Kifupi uzalendo ni kupigania nchi yako kijamii,kiuchumi na kisiasa