Askofu Mkuu wa KKKT, Dkt. Fredrick Shoo amtembelea Freeman Mbowe gereza la Ukonga

Umeishia darasa la ngapi ?
Mwambieni siku nyingine atembelee mahabusu ambao sio maarufu na wala hawana vyeo, wale ambao hata wakienda kanisani kwake huwa hawana hela ya sadaka na wapo kule kwa makosa yanayodhaminika lakini hawana mdhamini, au wanashindwa kulipa hata laki tano tu ya faini ili watoke. Awatembelee na hao ili tujue hajaenda kichama.
 
Mama Samia anaendelea kujichafua mwenyewe kwa kuagiza Ustaadhi Aboubakar Mbowe kutundikiwa mashtaka ya uongo na kumfanya mfungwa wa kisiasa.

Taswira ya nchi imeanza kuchafuka kama enzi za baba wa uovu, shujaa, jiwe mwendazake.
Siku hizi anakunywa Whisky kupitiliza nadhani kuna sehemu anaona kuna uzito flani, kila akienda sehemu akijua atatoa hotuba inabidi anywe kwanza ili akae sawa ila tatizo ndio kuna eneo anaanza tena kuharibu kwenye hotuba sasa hapo ndio kuna shida.
 
Mkuu,
Serikali hii ishawai kuwa na ushahidi tangu lini,

Ujue tangu enzi za Lissu mambo yalikuwa ni haya haya,
oooH tuna ushahidi tuna ushahidi, wakienda mahakamani wanaliwa kichwa..

Ila kweli kama ushahidi ungekuepo uyu Jamaa wangesha msomea namba mda sana aisee,

Ona wanavyo chelewesha mambo aisee, mala Gari mbovu, mala shaid hajafika, yani hawaishiwi visingizio.

Wacha twendelee angalia Muvie yao ya Mizengwe hii....
 
Ame
Ametimiza wajibu wake, maana ni sehemu ya Ibada
 
Kuna siku wewe ndio utakuwa kizimbani ndipo utajua huwa unakuwepo ushahidi au la. Kama serikali huwa haina ushahidi basi kusingekuwa na magereza, na hata yangekuwepo basi wasingekuwepo wafungwa, cha ajabu anayewafunga sio serikali, ni mahakama, basi ilaumuni mahakama kwamba imejaza magereza wafungwa ambao hapakuwepo ushahidi dhidi yao. Mahakama zinafanya nini sasa, na je, ina maana Tanzania hakuna wakosaji, na wakosaji hao hawezi kuwe boss wenu dj? Yeye ni malaika?
Ame

Ametimiza wajibu wake, maana ni sehemu ya Ibada
hivi kweli kichwani kwenu kuna ubongo kabisa hata mkamuamini huyo jamaa kuwa ni nabii wa kweli? mmelogwa na nini aisee?
 
Mungu ambariki sana Askofu Shoo.
 
Kuna siku wewe ndio utakuwa kizimbani ndipo utajua huwa unakuwepo ushahidi au la. Kama serikali huwa haina ushahidi basi kusingekuwa na magereza na hata yangekuwepo basi wasingekuwepo wafungwa, cha ajabu anayewafunga sio serikali, ni mahakama, basi ilaumuni mahakama kwamba imejaza magereza wafungwa ambao hapakuwepo ushahidi dhidi yao. Mahakama zinafanya nini sasa, na je, ina maana Tanzania hakuna wakosoaji na wakosaji hao hawezi kuwe boss wenu DJ? Yeye ni malaika?
Ame

Ametimiza wajibu wake, maana ni sehemu ya Ibada
hivi kweli kichwani kwenu kuna ubongo kabisa hata mkamuamini huyo jamaa kuwa ni nabii wa kweli? mmelogwa na nini aisee?
Mungu ambariki sana Askofu Shoo.
Angembariki pia kama angekuwa ameenda kumuona Sugu na Mdude au mnataka abarikiwe kwa kwenda kumwona DJ tu?
 


Katika maswala mengine sawa hua wanakua na ushahidi,

Ila katika kesi nyingi za viongozi wa chadema, tena wale wa ngazi za juu,
nyingi wanakua hawana ushahidi,

Japo ni njia pia ya kisiasa katika kupunguza speed ya wapinzani wako..
 
ma

umefikisika kisiasa ukishaanza kuwaza mambo kidini na kikabila
 
Katika maswala mengine sawa hua wanakua na ushahidi,

ila katika kesi nyingi za viongozi wa chadema, tena wale wa ngazi za juu,
nyingi wanakua hawana ushahidi,

Japo ni njia pia ya kisiasa katika kupunguza speed ya wapinzani wako..
basi subiri afungwe au aachiwe huru. unawashwa na nini?
 
Wewe una uwezo wa kumpiga mtu askofu. Si unaona askofu Ruwaichi mlivyojaribu kanisa likamuokoa hadi mkajipendekeza kutuma ndege bila kuombwa.

Mligundua kitanuka mapema kama mngefaulu.

Chezeya kanisa weye, muulize mfalme Constantine wa Roma.

Vijitu vidogo vidogo kama dola yako si vya kupambana na kanisa.

Pambafu.

 
Huo ni ujumbe kuwa KKT katika linapinga ugaidi wa serikali. Mabalozi wa nchi za Ulaya na America, wanapinga ugaidi wa Serikali.
Nasubiria viongozi wangu wa RC church.
 
Ukiwa ikulu sio parahisi usipotumia approach kama hii huwezi kueshimika.
Acha ashike adabu kwanza mpaka ajue namna ya kuwafundisha adabu ya siasa Vijana wake wakina mdude.
Amechochea moto badala ya kuuzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…