Hivi mtu akienda kumtembelea mdogo wake, nayo ni habari.?View attachment 1913448
Hii ndiyo taarifa ambayo pengine ulikuwa huifahamu , imeelezwa kwamba Baba Askofu Shoo amefika kwenye gereza la Ukonga kumtembelea Gwiji la siasa za Tanzania , Ustaadhi Aboubakar Mbowe , pamoja na kumuona mfungwa huyo wa kisiasa , Askofu Shoo ametumia nafasi hiyo kutoa neno la matumaini kwa wafungwa wengine walio ndani ya gereza hilo.
Mungu ibariki KKKT
Nchi ipo salama, kwa hiyo unataka mtu akiwa upinzani hasishitakiwe? Nchi ipo poa kabisa, hayo matamanio yenu ya nchi kuchafuka ni zero, Bwana Abubakar lazima aface mashtaka yake kama waTZ wengineMama Samia anaendelea kujichafua mwenyewe kwa kuagiza Ustaadhi Aboubakar Mbowe kutundikiwa mashtaka ya uongo na kumfanya mfungwa wa kisiasa.
Taswira ya nchi imeanza kuchafuka kama enzi za baba wa uovu, shujaa, jiwe mwendazake.
Hivi nyinyi huwa mnaokotwa wapi?huyo hajawahi kuwa askofu wa kkkt, siku zote ni askofu wa chadema na wachaga. ni mkabila na hajawahi kuwa nutral kwenye hivi vyama. hata ukija na ushahidi gani dhidi ya wanachama wake, siku zote muelekeo wake ndio huo. ajue kuwa serikali ndio yenye siri nzito na upelelezi, anaaminije kama kweli ameonewa, na ameruhusiwaje kwanza. wanaohubiri wahubiri na wanasiasa wawe wanasiasa, ukichanganya hayo ukipigwa za uso usitulaumu.
Askofu kumtembelea mahabusu ni kuingilia mahakama! Inaelekea haujui maana ya kuingilia mahakama, uliza kwanza ufahamishwe.Siyo kitu kibaya kuwatembelea mahabusu na wafungwa kwani nao wanahitaji faraja. Mimi ni Mlutheri pia ila Baba Askofu asiingile mambo ya mahakama
Uzuri wa CCM pamoja na mapungufu yao machache, mwanachana wao akituhumiwa kufanya kosa la jinai na kushitakiwa huwa hawaingilii vyombo vya dola kwa kumtetea mtuhumiwa.Kwanini mmemkana Hamza? Mjumbe wa Kamati Kuu CCm Taifa
Pumbavu nyinyi ndo wakabila wakubwa lakini saizi hamna issue tenaMkuu Yule muasisi wa ukabila/ukanda tulishamfukia Kuleee kanda pendwa.
Ukiwa gaidi lazima ujipachike jina la kiislam kuhalalisha kuwa gaidi?Ndivyo anavyojulikana huko Zanzibar
Nakuhakikishia mzee wa vifutu umempeleka huko ni uchaga si vinginevyo!Hivi mtu akiendelea kumtembelea mdogo wake, nayo ni habari.?
Awe makini Sana na Nini? Utamfanuya Nini?Kuwa makini sana mjomba
HahahhaUzuri wa CCM pamoja na mapungufu yao machache, mwanachana wao akituhumiwa kufanya kosa la jinai na kushitakuwa huwa hawaingilii vyombo vya dola kwa kumtetea mtuhumiwa.
Toa ujinga wakoHuyo hajawahi kuwa askofu wa KKKT, siku zote ni askofu wa CHADEMA na wachaga ni mkabila na hajawahi kuwa nutral kwenye hivi vyama. Hata ukija na ushahidi gani dhidi ya wanachama wake, siku zote muelekeo wake ndio huo. Ajue kuwa serikali ndio yenye siri nzito na upelelezi, anaaminije kama kweli ameonewa, na ameruhusiwaje kwanza. Wanaohubiri wahubiri na wanasiasa wawe wanasiasa, ukichanganya hayo ukipigwa za uso usitulaumu.
Ni kabilayake ndiyo maana hana jipya. Mbona hajamtembelea Sabaya? Ukabila utajidhihirisha siku zote kwa hawa watu. Angevua tu na hayo majoho maana hayamsaidii.View attachment 1913448
Hii ndiyo taarifa ambayo pengine ulikuwa huifahamu, imeelezwa kwamba Baba Askofu Shoo amefika kwenye gereza la Ukonga kumtembelea Gwiji la siasa za Tanzania, Ustaadhi Aboubakar Mbowe, pamoja na kumuona mfungwa huyo wa kisiasa, Askofu Shoo ametumia nafasi hiyo kutoa neno la matumaini kwa wafungwa wengine walio ndani ya gereza hilo.
Mungu ibariki KKKT
Tunakujua wewe ni mtoto wa Zirro yule mla unga anaepiga watu huko chanikaWamaรงhame hao AKA wapalestina
USSR
Huyo shoo kumbe Ni nyumbu ndo maana hawezi kufukuzwa!Watafukuzwa CCM siku hiyo hiyo
Huna tofauti na huyo jamaaPumbavu nyinyi ndo wakabila wakubwa lakini saizi hamna issue tena
Cha kujiuliza, huyo askofu wa CHADEMA, hajawahi tembelea waumini wake wowote wale, ila kamtembelea dj tu. ina maana leo ndio kajua kuwa kuna mahabusu,, tena wanaoweza kuwa wanapata shida kuliko hata dj mboe? unafiki wa hali ya juu.
Kitu ambacho wengi huwa hamjui, hawa maaskofu wa mishahara na wadini/mafarisayo, wanafuata dini tu, ila ni watu wa kawaida mno hadi kwa waganga wanaenda kugombania vyeo. hawanaga lolote nakwambia na hata hawamtumikii Mungu, wanatumikia dini na familia zao.
WEWE NI BONGOLALA MKUBWA, POPOMA, KABISA ,KWENYE ISSUE YA HUMAN RIGHTS VILOTION hakuna kabila wala dini.Wamaรงhame hao AKA wapalestina
USSR
Wewe ni kubwa JINGA kabisa....๐๐๐Msajili wa Vyama anapaswa akifutilie mbali hiki chama Cha CHADEMA maaana kimekuwa ni maficho/chimbo la Wahalifu, kila aina ya wahalifu sasa wanaweza kujibanza na kujificha ktk kichaka kinacho jiita eti chama cha kisiasa!!!