Askofu Mkuu wa KKKT, Dkt. Fredrick Shoo amtembelea Freeman Mbowe gereza la Ukonga

Kabla hujapata Uhuru wa bendera hawa ndio walikua wanatuongoza Kwa taasisi zao Imara na uchumi wetu ulikua juu kuliko miaka hii 50, baadae mkapewa Uhuru mmeharibu kila kitu!!...
 
Wamaçhame hao AKA wapalestina

USSR
kumbe ni wamachame sio wachaga.
kwani Mbatia nae ni Mchaga?!
kumbee!! ndio maana wanateteana bila hata kuheshimu mahakama!!! eti kisa wamemgusa Mangi!!

hawa watu wamekosa aibu sana.
anamuona Mbowe alikuwa mtakatifu? kumbe alikuwa hafai hata kukaa nje
 
Usitoe sana povu nilikuwa nikiona live huku kwetu anayetoa sadaka sana ndiyo baba alikuwa anampenda sana, na alikuwa anafanyiwa maombi spesho, tia mzigo mkubwa ndugu hata ukifungwa na wewe wanakuja lwako.
 
Ukiwa Ikulu sio parahisi usipotumia approach kama hii huwezi kuheshimika.
Acha ashike adabu kwanza mpaka ajue namna ya kuwafundisha adabu ya siasa Vijana wake wakina mdude.
Hivi una akili timamu wewe ...ndio maana sisi miafrika mimasikini Sana kwa upumbavu Kama huu...
 
Huyu naye ni Gaidi wa kidini tu amekwenda kumtembelea Gaidi mwenzake wa kisiasa.
 
Kama kuna aliyedhani haya mambo ni madogo basi ni bora ajipofue macho, yanayokuja ni mazito sana.
Yaani wewe unamwona huyo Shoo unababaika!? Huyo ni kama lilivyojina lake yaani anafanyashoo tu hakuna kitu. Anakwenda kumtembelea Mmachame mwenzake tu hakuna la maana lolote labda kwako wewe nyumbu!
 
Ukiwa Ikulu sio parahisi usipotumia approach kama hii huwezi kuheshimika.
Acha ashike adabu kwanza mpaka ajue namna ya kuwafundisha adabu ya siasa Vijana wake wakina mdude.
Ndugu yangu,
Ubabe na ukandamizaji havijawahi kujenga heshima popote pale. Badala yake, mifano hai imetuonyesha kuwa, vimekuwa vikifanikiwa kujenga unafiki/woga chuki na roho ya visasi ambayo wakati mwingine imewaandama mpaka kwa wa 'ukoo' au kizazi cha Dikteta husika.
Haki huinua taifa, bali dhambi ni aibu kwa watu wote. Mithali 14:34
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…