Askofu Mwamakula aenda alipozuiliwa Lissu kumtia nguvu

Askofu Mwamakula aenda alipozuiliwa Lissu kumtia nguvu

KUMFUNGIA NI SAWA KABISA MAANA ALIKUWA ANAPOTOSHA RAIA KUWA JPJM AMEWAITA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI KUPANGA NJAMA ZA KUHUJUMU UCHAGUZI. SASA UNAONA KAKUBALI KOSA LA KUSEMA UONGO. CHADEMA KUPITIA WAWAKILISHI WAKE KWENYE TUME YA MAADILI YA NEC WALIOMBA APUNGUZIWE ADHABU. WANGEACHA KUMFUNGIA ANGEENDELEA KUSEMA HUU UONGO. LISSU HANA SERA YOYOTE NZURI YA KUTUENDELEZA TULIPOFIKA. SERA YAKE NI KURUHUSU MALI ZETU ZIPORWE NA MARAFIKI ZAKE WALIOMTIBU. HATUKUBALI KAMWE. NDIYO MAANA KATIKA ILANI YAO WANASEMA MADINI YETU YATAWEKWA REHANI KWA KUWEKWA DHAMANA. SOMA ILANI YAO UKURASA 84 KIPENGELE 12.1 b; UTAONA USALITI HUU. JPJM HAKUBALI UNYONYAJI HUU NDIYO MAANA WANAMCHUKIA. AMKA NDUGU YANGU. WANATAKA KUTUIBIA MALI ZETU.
IMG_20200929_142825.jpg


Ni sawa..
 
Tangu nigundue maaskofu wa kanisa langu la RC wanafungamana na upande unaokandamiza wananchi niliacha rasmi kuhudhuria ibada zao za kinafki.
Mkuu toka nijue tabia za Askofu Pengo kama kiongozi mkuu wa Kanisa na Africa. Niliachana na upuuzi wa kupoteza muda na fedha za sadaka. Bora jpili niende kuona wagonjwa hospitali au nikale mkonyonyo kwa mamayeyoo
 
Hehee yule ameshapata adhaby yake anasubiri Moto wa Jehanam kwa kuungana na maajenti wa ibilisi.
Yaan anavyoongea unaona kabsaa sio yeye ila kuna msukumo nyuma yake, kiongozi wa dini unadirikije kusema yule ndiye anayetufaa wakati siasa imekatazwa kwa viongozi wa dini, aacha tumbo liitwe tumbo aisee.
 
Huyo askofu atakuja kuambiwa sio mtanzania ajiangalie.
 
Huyo askofu atakuja kuambiwa sio mtanzania ajiangalie.
 
Back
Top Bottom