Hahaha future words from monistersHuyu Askofu ni raia wa Tanzania kweli? Mbona kiawahili chake ni kama mkongomani vile,,,,,
Hahaha future words from monistersHuyu Askofu ni raia wa Tanzania kweli? Mbona kiawahili chake ni kama mkongomani vile,,,,,
Lissu ze GreatmanNa Mimi nakazia hapo.hakuna kama Lisu
Ila Tundu Lissu ana spirit ya kipekee sana, sioni mwanasiasa kama wa kuvumilia kukalishwa hapo barabarani kwa kutwa nzima.Katika muendelezo wa hali inayoonyesha kuwasikitisha sana wananchi juu ya uonevu na unyanyaswaji wa dhahiri anaofanyiwa mheshimiwa Lissu baada ya kuzuiliwa kuendelea na safari yake ya mlandizi, Askofu Mwamakula amekwenda eneo la tukio hapo kibaha ili kumfariji na kumtia Nguvu.
Askofu Mwamakula ameongea kwa huzuni na masikitiko makubwa juu ya aliyotendewa ndugu Lissu na kusema kuwa si vizuri viongozi kutokutenda haki namna hii, Askofu ameonya kuwa hali ya namna hii ya uonevu wa waziwazi juu ya mtu ambaye hajavunja sheria yoyote inaweza kukwaza dhima ya taifa ya maridhiano huko mbele...
Ila Tundu Lissu ana spirit ya kipekee sana, sioni mwanasiasa kama wa kuvumilia kukalishwa hapo barabarani kwa kutwa nzima.Uyo kijana lissu amepotoka
Hana kanisa kitu alichonacho no hizo nguo za kiaskofu aluzojishonea mwenyeweHuyu Askofu anasimama na wanaoonewa , sio wale wanaosimama na watesi kwa kufuata maslahi .
Tangu nigundue maaskofu wa kanisa langu la RC wanafungamana na upande unaokandamiza wananchi niliacha rasmi kuhudhuria ibada zao za kinafki.Huyu Askofu anasimama na wanaoonewa , sio wale wanaosimama na watesi kwa kufuata maslahi .
Ndiyo maana mnageuzwa na kuliwa tigo kirahisi sana, kwahiyo umeona pentagon ndiyo kila kitu kwako siyo. Natamani nikutakane tusi baya sana ila acha tu nisijepigwa ban ya moja kwa mojaJiwe anazidi kuikorofisha Jumuia ya kimataifa.
Huwa najiuliza hivi jiwe anaijua PENTAGON kweli ama anaisikia tu
CCM ni ibilisi mwenyewe kabisa.Ccm ni kitengo cha shetani ndani ya tanzania
Nendeni mkamteke.Huyu Askofu ni raia wa Tanzania kweli? Mbona kiawahili chake ni kama mkongomani vile.
AmeeenMashehe Na Maaskofu Tujifunze Hili Ili Tuheshimike, yaani bila kupepesa macho tutetea haki
Rejea kitabu cha Kutoka Sura Ya 32 Na Kumbukumbu La Torati 9
Kama ni hivyo simwache awe huru?? kwann mnaangaika na mtu ambaye hawezi kushindaHuyo Lissu anatapatapa tu baada ya kuona hawezi kupata hats 10% ya kura.
Ushahidi hautolewi kwenye tvWanamjua toka kipindi kile kahojiwa cnn akawa anasingizia tu bila ushahidi.
Kuna yule shekhe wa Dar, aisee!!Mtumishi yeyote anayesema ni wa Mungu wakati hawezi kukemea maovu na uonevu ndani ya Nchi. Huyo hana tofauti na sisi walevi na wazinzi Tu
Askofu Mwamakula ni Mtumishi wa Mungu kweli kwelikweli. Huyu ni uzao wa Ukok wa Walawi.
Utu uzima wako unastahili uwe wa hekima na ufahamu, uweze kutoa msimamo na ushauri wako bila uoga badala ya kushangaashangaa.Napita tu nikishangashangaa na utu uzima wangu huu. Sisi tuliozaliwa kipindi cha Nyerere na kukuzwa na maadili yake huwa tunashangaa tu. Sijui vijeba wenzangu chamani kama mnashangazwa kama mimi